Mabegi makubwa ya kina dada yana beba vitu gani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabegi makubwa ya kina dada yana beba vitu gani!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Dadio, Mar 16, 2012.

 1. Dadio

  Dadio JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 360
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Wakina dada wa jf tu kwa umakin naomba mseme wenyewe huwa mnabeba nini kwnye mipochi yenu manake, juzi namwona dada mmoja had kapinda mabega kisa beg la kila sku. Tusaidien jama.....
   
 2. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  uyo uliyemwona alikuwa mfanyabiashara wa forever living!
   
 3. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Kuna siku lilitokea valangati la kimapenzi kwenye Pub Dada mmoja akatoa shoka kwenye hilo begi
   
 4. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  ta mie nashanga maana begi kubwa alafu anaenda job...sasa job begi kubwa la nini?
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Dah, nyie watu leo mngekuwa karibu, ningewapa zawadi. Mmenitengua mbavu lol
  Nimependa sana haya majibu.
   
 6. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Hata yule sista aliyempiga Malima alikuw na kama hili

  [​IMG]
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha ha ha, hapa angemuiba na yeye mwenyewe.

   
 8. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Hahaha umenifurahisha kwa kweli
   
 9. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #9
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Wengine wanafanya ndo dressing table kila kitu kimo humo.akiamua kujiremba anajiremba tu
   
 10. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Ha..ha..ha..Kumbe wapo wanaobeba vishoka humo..bila shaka mapanga na mi-Adam Malima inawezekana ikawa humohumo kwenye mibegi..
   
 11. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #11
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Haki ya nani hili gunia ama kiroba.Hilo pochi linaweza kutumika kuingiza wahamiaji haramu mpakani.
  Hata kwenye ule uvushaji wa sukari kwenda Kenya hili lafaa sana hapo kilo ishirini zanavuka kiulaini.
   
 12. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #12
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Hilo hapo juu lipo kama wardrobe.
   
 13. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #13
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Halafu na hiyo afya ya huyo aliyebeba umeiona chief..
   
 14. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #14
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wengne ni mahot pot ya mahindi ,vitumbua ,samaki na mihogo unamuona mtu anainama anakuwa kama vile kuna kitu anapekua humo ndani akinyanyua kichwa anatafuna kwa silence
   
 15. S

  SI unit JF-Expert Member

  #15
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  .
  Naona wamekuwahi manake ndo necha ya majibu yako
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Mar 16, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  kanga
  poda
  lipgloss
  wanja
  wallet
  viatu
  pedi
  simu
   
 17. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #17
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  makopo ya poda na wanja+breakfast+lunch=bonge la mzigo!!
   
 18. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #18
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Kamwili kadogo sana nadhani ili abebe hili begi likiwa limejaa kwa siku nzima ni lazima alambe glucose ya kutosha..Ila wenzetu Ulaya wengi wana magari hili analiweka kwenye buti saaafi kabisa.
   
 19. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #19
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Hahahaaa!
   
 20. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #20
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ..mbona hawaji kujibu...?
   
Loading...