Je, inafaa kuoa mwanamke aliyekuzidi urefu?

zimwimtu

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
1,988
1,095
nimepata gf ambaye tunapendana sana tu. ana sifa ninazozitaka kuwa mke wangu, lakin nikitembea nae njiani najisikia inferior coz mie mfupi af yeye mrefu. niendelee nae au nitafte mfupi mwenzangu. (honestly I love her tatizo ni urefu tulopishana tu)
 
unaoa mtu kwa sababu unampenda, ana tabia njema au unaoa kwa sababu mnalingana urefu?

Mwanaume anatakiwa ajiamini...
 
We acha hizo. Mke wangu mie mrefu na anizidi sana lkn hakuna tatizo. Mwaka wa kumi sasa na tuna wtt wawili na wote ni wakwangu sijapima dna lkn kila nikiwaangalia macho yao yameingia ndani kdg na mashavu yanechomoza karibu na taya za juu na meno makubwa ha mawili ya mbele kwenye taya la juu kama babangu au babu yao
 
nimepata gf ambaye tunapendana sana tu. ana sifa ninazozitaka kuwa mke wangu, lakin nikitembea nae njiani najisikia inferior coz mie mfupi af yeye mrefu. niendelee nae au nitafte mfupi mwenzangu. (honestly I love her tatizo ni urefu tulopishana tu)
Acha kuchanganya madawa,
We si umesema ana sifa zote unazozitaka?
Ikiwemo hiyo ya urefu ndio maana ukam-select????sasa unatuhoji nini tena mkuu?
Au unamaanisha "urefu wa sketi v/s urefu wa suruali?"
 
Thithi ndio baba thao na mama thao. Wakati wa kudendeka lazima utumie stuli.
 
urefu wa mke sio tatizo mkuu ni mapenzi tuu..kuna wanaume wengine ugonjwa wao wanawake warefu waliowazidi kama Tom Cruise...muhimu mapenzi tuu.
 
Wewe acha hizo mimi mke wangu nimemzidi urefu lakini yeye kanizidi umri kwa miaka 2 ndoa yetu leo ina miaka 6 na tuna watoto, cha muhimu hapo siyo urefu wala ufupi, je yuko tayari kuishi na ww kwenye shida na raha?
 
ndo tabu ya wanamme wafupi, hawajiamini.
Humfai, utamsumbua na kutojiamini kwako.
 
watu wanaoa waliowazidi umri nini urefu khaa tafuta uzi wa harusi ya aki wale wanaijeria mbilikomo ndio utajua urefu sio ishu..
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom