Kwanini wanawake ampendi kuwa wakweli katika mambo yenu

by default

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
839
215
Ni furahi day tena wana MMU.ninaomba ushauri wenu hata kwa men ruksa kuchangia.nili mtokea dada mmoja nilimfukuzia kwa miezi kama mitatu kwasababu alikuwa nataka sitaki iliniwia vigumu kumwelewa kwa sababu nikiomba outing nae alikuwa anakubali.

Kama miezi miwili imepita tangu tupotezeane baada ya kumuona aeleweki katika kauli zake na yeye akakubali akasema tusijuane tena.tupo chuo kimoja mara nying uwa tunapishana so uwa nampasalam fupi ya kawaida sana ila simu sijawah kumpigia wala yeye kunitafuta.

Tatizo limeibuka last week nilikuwa na washkaji ghafla akaibuka jamaa mmoja ambae atujazoeana kwa maelezo yake anamtokea yule msichana kwa sasa na alitaka nimuakikishie kama kwel yule dada anamtu kwa sababu yulemsichana kamwambia tayari anamtu wake wana miaka 3 na mimi ....

ni rafiki yake na uwanaenda room kwake kupga story wakati nishakata mawasiliano nae kitambo na mimi aligoma kuniambia yupo in relationshp zaid ya kusema yupo bize na masomo na aitaj story za mapenzi.WADADA KWANINI KUSEMA UKWELI KWENU INAKUWA NGUMU mnapenda shortcut sana
 
Ni furahi day tena wana MMU.ninaomba ushauri wenu hata kwa men ruksa kuchangia.nili mtokea dada mmoja nilimfukuzia kwa miezi kama mitatu kwasababu alikuwa nataka sitaki iliniwia vigumu kumwelewa kwa sababu nikiomba outing nae alikuwa anakubali.kama miezi miwili imepita tangu tupotezeane baada ya kumuona aeleweki katika kauli zake na yeye akakubali akasema tusijuane tena.tupo chuo kimoja mara nying uwa tunapishana so uwa nampasalam fupi ya kawaida sana ila simu sijawah kumpigia wala yeye kunitafuta.Tatizo limeibuka last week nilikuwa na washkaji ghafla akaibuka jamaa mmoja ambae atujazoeana kwa maelezo yake anamtokea yule msichana kwa sasa na alitaka nimuakikishie kama kwel yule dada anamtu kwa sababu yulemsichana kamwambia tayari anamtu wake wana miaka 3 na mimi .... ni rafiki yake na uwanaenda room kwake kupga story wakati nishakata mawasiliano nae kitambo na mimi aligoma kuniambia yupo in relationshp zaid ya kusema yupo bize na masomo na aitaj story za mapenzi.WADADA KWANINI KUSEMA UKWELI KWENU INAKUWA NGUMU mnapenda shortcut sana

Ukikua utaacha.
 
dogo ushamaliza chuo au bado kama bado soma sana achana na chuzibo utapoteza time yako na mtu ambaye watu walishamtolea macho na kama umeshakula mzigo we sepa zako na usimfikirie sana mind yo time buddie..
 
asante mkuu mwaka uhu ndo namalza
 
Ndio maana wanaitwa wanawake, na sisi wanaume. Mkuu angalia upande wa pili wa shilingi; Mwanamke akiwa approached na mwanaume, akitoa mshedede haraka huwa tunasemaje- ma**ya! So its better wazungushe kidogo but issue ya kusingizia uwongo hata mimi siikubali.
 
unasema kuna tatizo limeibuka, mbona sioni tatizo hapo zaidi ya mambo ya kawaida tu ya kutongozana na kuyeyushana...
 
ukweli unatucost most of the times; vipi wewe unasema kweli tupu?
Na kweli nyingine zinado more harm than good; mfano nikikuambia sikupendi kwakuwa kananilii kako kadogo, utafurahi?
 
Cjui ni lini wanachuo mtajifunza na kuelewa kua 90% ya mapenz ya chuo yamejaa uongo na huisha mwisho wa boom yaan mara tu baada ya kumaliza chuo
 
Aaargh nenda library bana ukapige buku kila unapofikiria hii topic......huwa hakuna majawabu on topics about women ila UKISHAKUWA MWANAMUME utachagua style yako ya ku deal na wanawake PRACTICALLY maishani mwako meanwhile exercise your boyhood while learning confusing theories about them women

Aids is real and it kills
 
Kijana ulifata kusoma sio wasichana, ebu punguza uzinzi hicho unachokifukuzia kingekua kitamu basi usinge kikuta hivyo basi SOMA.......
 
wanawake wote ni wa kweli inategemeana na wewe ulitarajia nini au jibu gani ukiona hasomeki chapa lapa.
 
Back
Top Bottom