Mashemji wa kike hunitaka kimapenzi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashemji wa kike hunitaka kimapenzi!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Raia Safi, Mar 28, 2012.

 1. R

  Raia Safi Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  32yrs ndo umuri wangu.
  Kimaumbile kiungo changu cha kiume ni kidogo kiasi kile kikiwa ktk hali ya kawaida ni kama 2" hivi na katika ile hali ya kutumika ni kama 3.5" hivi
  nimshukuru mungu kinafanya kazi kikamilifu.Tatizo nlilo nalo ni kwamba marafiki wengi wa girl frends nilopata kua nao hunitaka kimapenzi,na hali hii ni tangu nikwa shule sec na inaendelea hadi leo hii!! Hufikia wakati hutokea ugonvi baina yao kwani ni sheji zangu wengi wamewazunguka rafiki zao baadae siri inavunjika baada ya penzi kunoga! Bahati abayo inabidi niite mbaya wengi wao hunihonga.Sasa hivi njiona nahitaji kua na familia yangu hivyo nimeacha u-ply boy na kua na msichana m1 ili awe mke baadae. Kwa sasa tuna miezi 6.Jamani balaa imeanza tena! Dada yake ananisubua kwa vishawshi ananijazia gari yangu mafuta kila wiki na mara nyingine hupenda nitumie gari yake!!,mdogo wake huleta zawadi hadi nguo za ndani!,rafiki yake wa karibu pia yaleyale!
  Hapa najiuliza haya maumbile yangu ndo sababu au kuna jingine? Ushauri wenu wana JF
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Weka picha ya kibamia hicho kwanza
   
 3. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  ahahahaaaaa...dogo wee mngese kichizi...story yoooooote kumbe unataka kujua kama kiji-boo chako ndio kivutio cha mashemeji zako...jibu ni NDIOOOO....maana shemeji zako wanaonesha kila dalili ya kuwa na mabwana au waume ambao mitalimbo yao IMELALA DOROOOO...soo hicho cha kwako ni better off than those big toy gunz of their mens...ahahaha dogo kama nakuona ulivyofirahiii.....ndo manake...kisu bonge la silaha vitani ikiwa mi-nuclear na makombora yote ni mabovu na useless.
   
 4. R

  Raia Safi Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Una maana nijipige picha kibamia changu?
   
 5. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ndio ili tuweze kukupa ushauri vizuri
   
 6. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,701
  Likes Received: 808
  Trophy Points: 280
  kijana,kwa vile kijibamia chako ni kidunchu lakini kinakamua wadada unaotembea nao huwa-hadithia wenzao so wanataka ku-prove tu!kuna jamaa alikuwa anavaa shanga wadada wakawa wanamiminika kutaka kujua ni kweli,na jamaa kuna siku alikuwa havai,basi ubishi mtaani ulivyoongezeka ndio mademu wakawa wanamiminika zaidi!ni kweli kiungo chako ni kivutio
   
 7. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Mtoto wa kike! Hujaenda kitchen party bado? Huogopi hadharani?
   
 8. R

  Raia Safi Member

  #8
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka laiti ungejua adha nnayopata usingenikejeli hivyo! Mimi hujisikia labda wanasimuliana kibamia changu kidogo kisha wanakuja kuthibitisha lakini matokeo yake tunaendeleza.
  Hujihisi kua kunakitu kinasimuliwa,mbona wasio karibu na mtu wangu hawajigongi?
   
 9. E

  ESAM JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 962
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Kwani ndugu za huyo mkeo mtarajiwa nao tayari umetembea nao, au hicho kiungo wamekijuaje?
   
 10. R

  Raia Safi Member

  #10
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama ulvyosema! Hisia zangu ilikua hivyo kua kuna simulizi zinzonihusu,nilkua najisikia vibaya sana kwa udogo wangu hadi nawaogopa wadada,cha ajabu nikipiga konde nichape inakua balaa mchezo unaendelea! Ananogewa!!
   
 11. K

  KJ00731 Member

  #11
  Mar 28, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkamue tu.....! ila wife asijue.
   
 12. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #12
  Mar 28, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  inaelekea hicho kibamia kitakuwa na miiba si bure.
   
 13. R

  Raia Safi Member

  #13
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa ndugu wa mtarajiwa sijatembea nao ila hivyo vishawshi vyake ni balaa! Kama nlivyosema nimeamua kutulia,vinginevyo nigeshatembea nao wote
   
 14. c

  chimbilya New Member

  #14
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unachowafanyia wanasimuliana, hivyo hakuna anayependa kuikosa asali, kuwa karibu sana na umpendae itasaidia
   
 15. R

  Raia Safi Member

  #15
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilikua nawakamua mashemeji enzi hizo sijaamua kuoa,sasa nimeamua kumuoa huyu alafu nimkanue dada yake na mdogo wake! Kuna kunogewa,penzi jaljifichi! Nakufa kiume
   
 16. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #16
  Mar 28, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  hv hii tukana jamaa hawajaigundua bado duuu nimecheka sana mkuu!
   
 17. R

  Raia Safi Member

  #17
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakushukuru kwa kutaka kunipa ushauri ila kujipiga picha itakua ngumu,naogopa usije ukakapenda nawe uniongezee adha nnayopata sasa
   
 18. E

  ESAM JF-Expert Member

  #18
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 962
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Asante mdogo wangu kwa kunijulisha ili nikushauri vizuri. Sasa ni hivi kama ni uplayboy wote tumefanya na wakati mwingine tulikuwa tunaona ni sifa kutembea na wanawake wengi lakini kwa kweli ukweli ni kinyume chake. Sasa kwa kuwa umeamua kubadilika suala la muhimu ni kuwa na msimamo wewe mwenyewe na kuwa muwazi kwa yeyote ukiona anakutia majaribuni. Wewe mwambie tu kwamba ukaribu au hili na lile unalofanya kwangu nisingependa liendelee, mkumbushe uhusiano wako na huyo mkeo mtarajiwa. Kwa mfano umesema dada wa huyo mtarajiwa huwa anakujazia mafuta kwenye gari na wakati mwingine kutaka utumie gari lake, wewe mhoji ni kwa nini anafanya hivyo na kama hutaki unamweleza waziwazi usife na tai shingoni ni vema wakaujua msimamo wako mapema. Lakini pia mweleze huyo mchumba wako kuhusu hiyo mienendo ya ndugu na rafiki zake usifiche jambo lolote kwake ambalo unaona linatishia uhusiano au future yenu nzuri.
  Kuhusu kiungo wala usiwe na wasiwasi Mungu aliyekupa hicho anajua kitafanya kazi yoyote aliyokikusudia kufanya kwani cha muhimu si kuingia sehemu kumridhisha mwenzio na kumwaga mbegu ili ziote na kuzaa matunda kama ndio msimu wenyewe? Maumbile makubwa yanaweza kuwa underperform lakini madogo yakaperform betterso hiyo sio shida hata kidogo. Be confident with what you are don't let yourself down
  MUHIMU: ACHANA NA UZINZI UWE MWAMINIFU KWA MKEO ACHANA NA WAPOTOSHAJI WAOFURAHIA KUWA KIFIMBO CHEZA, HILO HUWA HALINA FAIDA YOYOTE NI UPUUZI TU
   
 19. R

  Raia Safi Member

  #19
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo nimekupata,ni kwel Nikijiendekeza hata koa sitooa kabisa!
   
 20. R

  Raia Safi Member

  #20
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh. Yamekua hayo tena?
   
Loading...