Khaaaaa!!!!!Jamani viacheni vibinti visome!!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,709
Aaaaarrggrh!Nimekerwa sana alfajiri ya leo baada ya kumuona jamaa mmoja nikiwa nafanya mazoezi akikatoa kabinti kadogo sana kukasindikiza kwao,inaonekana alilala nako.Hivi wanaume sisi hivi vibinti vya darasa la saba,form one,two,three na 4,vina raha gani tofauti na karaha?Kwanza havijui kuoga,vinanuka mikojo havijui mapenzi,halafu ni kinyume na sheria,nyie mnaodeal na hivi vitoto,viacheni visomeeeee!Aaaaggghhrr!!
 
Kwanza hongera mkuu kwa kuanza siku na mazoezi. Wengi wetu tunaanza na supu na chapati kadhaa wakati tulilalia bia za kufa mtu.
Wanaume saa nyingine tuna matatizo kweli...hatuangalii vizuri usoni? Mtu mzee kabisa lakini binti anayetoka naye, mhh!
 
Kiongozi hapo kwenye RED umejuaje?
 
Kwanza hongera mkuu kwa kuanza siku na mazoezi. Wengi wetu tunaanza na supu na chapati kadhaa wakati tulilalia bia za kufa mtu.
Wanaume saa nyingine tuna matatizo kweli...hatuangalii vizuri usoni? Mtu mzee kabisa lakini binti anayetoka naye, mhh!

Yaani we acha tu,lizee lizima kitambi kikubwa kama ujauzito wa mapacha wa4 halafu liko na kabinti ka darasa la 7!!Mvua zitanyesha kweli?
 
Na hicho kitoto kwao kiliaga kinaenda wapi mpaka kikaruhusiwa kutoka..?????
Kumbe kweli maadili yanaanzia home ..
 
Ulikua hujui shangazi?Hebu anza na hao binam zangu hapo home wasijeleta balaa!
 
Wana makosa wazazi wa huyo binti, vipi binti yako analala nje na wewe huna habari.

Wazazi labda nao wanalala nje au wanafanya kazi za usiku au wanakula starehe na hawajari kabisa yanayoendelea
 
Back
Top Bottom