Mama wa kambo huyu katili

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078
Jana wkt naangalia taarifa ya habari TBC kuna habari moja walionyesha toka mikoa ya kanda ya ziwa mtoto wa miaka kumi alikuwa anaishi na mama wa kambo, mama wa kambo huyo alikuwa anampaka pilipili machoni mtoto huyo mdogo pindi anapo fanya kosa au kuchelewa kurudi, mtoto yule ukimwangalia macho yamekuwa kama ya babu kuna hatari ya kupofoka.
Jamani akina mama kwa nini mama wa kambo ni wakatili sana kuliko baba wa kambo?
 
Labda ni tasa na hawezi kuzaa kwa hiyo hajui uchungu wa mwana................
 
Jana wkt naangalia taarifa ya habari TBC kuna habari moja walionyesha toka mikoa ya kanda ya ziwa mtoto wa miaka kumi alikuwa anaishi na mama wa kambo, mama wa kambo huyo alikuwa anampaka pilipili machoni mtoto huyo mdogo pindi anapo fanya kosa au kuchelewa kurudi, mtoto yule ukimwangalia macho yamekuwa kama ya babu kuna hatari ya kupofoka.
Jamani akina mama kwa nini mama wa kambo ni wakatili sana kuliko baba wa kambo?

Si mama wa kambo wote wako hivyo. Wengine wana roho nzuri.
 
Ni tabia ya mtu yoyote awe mke/mume anakuwa na roho mbaya na pia, si mama wa kambo wote wana roho mbaya, na wala ugumba si sababu ya mtu asiwe na roho ya utu ndani yake.
 
Sivizuri kuwajumuisha mamawakambo wote kuwa wanaroho mbaya, Mie nimelelewa na Mamawakambo na sikuona tofauti yoyote na alinipatia kila nilichostahili kama mtoto kwa mzazi, roho mbaya ni tabia yamtu
 
Ni tabia ya mtu yoyote awe mke/mume anakuwa na roho mbaya na pia, si mama wa kambo wote wana roho mbaya, na wala ugumba si sababu ya mtu asiwe na roho ya utu ndani yake.

Tai
i guess kuna idadi ndogo sana ya hao watu unaosema...wengi wao wanaukatili wa hali ya juu!
 
Tabia ni tabia. Naamini hata qa watoto wake wa kuzaa atawafanyia hivyo hivyo. Naamini aliteswa sana wakati wa utoto wake hivyo analipiza kisasi kujionesha na kujidhihirishia umwamba alionao. Ni ujinga tu.
 
Jana wkt naangalia taarifa ya habari TBC kuna habari moja walionyesha toka mikoa ya kanda ya ziwa mtoto wa miaka kumi alikuwa anaishi na mama wa kambo, mama wa kambo huyo alikuwa anampaka pilipili machoni mtoto huyo mdogo pindi anapo fanya kosa au kuchelewa kurudi, mtoto yule ukimwangalia macho yamekuwa kama ya babu kuna hatari ya kupofoka.
Jamani akina mama kwa nini mama wa kambo ni wakatili sana kuliko baba wa kambo?

Kwenye red hapo; If and only if the father himself is weak

Mytake; Ukatili wa mama wa kambo huanzia pale unapoishia uwezo wa baba kutawala nyumba yake.......to me this is a man's fault mainly basing on his weakness................
 
Back
Top Bottom