Mwanaume apigwa na mkewe

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,791
2,078
[h=2]
[/h]

Jamaa kachelewa kurudi nyumbani na kodi ya meza hakuacha asubuhi mama akaamua kujichukulia sheria mkononi kwa kumshushia kipigo kama vile anamwadhibu mwanae. Jamaa hakufua dafu na wala hakurusha hata ngumi zaidi ya kujikinga na fito zilizo kuwa zikumshukia mithiri ya mvua ya mawe. Sasa wanawake wote wakiamua kujichukulia sheria mkononi nyumba zetu zitakuwa na amani kweli?
 
Kwani wanamme wanavyojichukulia sheria mguuni nyumba huwa zinasimamika?
 
Ahaaa mi sikubali i see jamaa kama bushoke
 
Alitakiwa amjeruhi kile kiungo kimpacho jina la mwanaume.
OTIS
 
Jamaa kachelewa kurudi nyumbani na kodi ya meza hakuacha asubuhi mama akaamua kujichukulia sheria mkononi kwa kumshushia kipigo kama vile anamwadhibu mwanae. Jamaa hakufua dafu na wala hakurusha hata ngumi zaidi ya kujikinga na fito zilizo kuwa zikumshukia mithiri ya mvua ya mawe. Sasa wanawake wote wakiamua kujichukulia sheria mkononi nyumba zetu zitakuwa na amani kweli?

natamani uzi huu uuanganishwe na ule wa mtambuzi wa kumpiga mwanamke
 
Italeta maana zaidi ukipelekwa kule.
Maana kule ni haki za akina mama tu zimetawala, itatufanya tuangalie kwa matizamo wa haki za binadamu.

natamani uzi huu uuanganishwe na ule wa mtambuzi wa kumpiga mwanamke
 
Acha uchokozi wewe, safi sana mtu labda kakatwa mshipa wa noah pori?

Ngoja siku unyimwe unyumba mwezi mzima uone inavyo uma

Acha unoko kijana kinachokufurahisha na kumpongeza huyo mama nininihasa.subiri zamu yako ifike utatafuta pakutokea nyambafuweee!!!
Unajua kwa nini nampongeza huyo mama kwa kumpa kichapo mumewe?
Mie nilitegemea nyote mtaniuliza kwa nini? badala yake peoples power.......??????? matusi.
 
haya mapenzi ya kupiga pigana haya, huyo mwanamke kama ana nguvu angelima mchicha auze wapate hela ya kula....
 
Myth of Domestic violence,

Men Don't Tell the Truth About Domestic Violence

Kumbe wanachalazwa hivi!
 
Unajua kwa nini nampongeza huyo mama kwa kumpa kichapo mumewe?
Mie nilitegemea nyote mtaniuliza kwa nini? badala yake peoples power.......??????? matusi.

Ubaya ni kwamba wanawake wababe hawana staha yaani anamshushua wazi wazi mmewe kama hivi
 
haya mapenzi ya kupiga pigana haya, huyo mwanamke kama ana nguvu angelima mchicha auze wapate hela ya kula....

umenikumbusha wakati tukiwa vijana wadogo tulikuwa tunapenda sana kunyanyua vyuma na baba yetu alikuwa hapendi kila akitukuta tunanyanyua vyuma anasema mnatumia nguvu zenu vibaya kama mnataka kufanya mazoezi nendeni mkatafute shamba mlime ili huku mkiwa manafanya mazoezi muwa na wakati huo huo mnazalisha.
pili nakumbuka kauli ya aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar muzee yusuphu makamba kwenye kampeni za upandaji miti alisema na hapa nanuku "Ikiw mnataka kupanda miti basi pandeni miti ya matunda iwasitiri kwa kivuli na mpate matunda pia"
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom