Rejea kutoka: Natafuta Mke tarehe 20-3-2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rejea kutoka: Natafuta Mke tarehe 20-3-2012

Discussion in 'Love Connect' started by hassansaid2010, Mar 30, 2012.

 1. h

  hassansaid2010 Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi Hassan Said nasikitika kuwa ule ujumbe nilioutoa tarehe 20 mwezi 3 mwaka 2012 kuhusiana na kutafuta mke kupitia jf , nasitisha rasmi zoezi hilo leo tarehe 30 mwezi 3 mwaka 2012 kutokana na walengwa wengi niliowasiliana nao kukosa umakini(seriousness) katika suala hilo.Asanteni sana
   
 2. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Dah pole mkuu,jaribu tena siku nyingine
   
 3. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  mnh unaonekana uko serious....:A S-frusty2:
   
 4. Primitive

  Primitive JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hivi? Mnakuwaga serious kweli? Uwa siamini kabisa njia hii!! Btw am scared of blind date
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwahiyo hutaki tena mke? Hutooa?
   
 6. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  We sio mswahili eeh? Maana waswahili huamini "muomba mungu hachoki, akichoka amepata''
   
 7. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  kasusa eti.....
   
 8. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  mbona umembania mwenzio lakini..
   
 9. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,285
  Likes Received: 3,017
  Trophy Points: 280
  Pole sana ndugu yangu...humu sidhani kama ni mahali muafaka. Kwenye jukwaa hili watu wanakuwa na masikhara sana so tafuta tu ustaaarabu mwingine aise....kafanye tongozo kitaa ndo zinalipa humu ht mtu humjui bana
   
 10. Uncle Kaso

  Uncle Kaso JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  Unaenda upadre,nini mkuu
   
Loading...