Kwa walio olewa tu!

Kwa walio olewa tu!

Kalunguine

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2010
Posts
2,543
Reaction score
134
Hali tete,wife kasafiri,mwenye nafasi jamani tukasaidieni kidogo,ani pm tuoeane maelekezo zaidi!
 
Heshimu ndoa yako.
Uanaume sio kusaka uchi
OTIS
 
kUNA MTU WANGU WA KARIBU YANGU SANA ALIKUFA KWA UKIMWI KWA TABIA HIYO HIYO YA KUMCHEAT WIFE WAKE AKIWA SAFARINI, AKAAMUAMBUKIZA NA WIFE WAKE WOTE NI MAREHEMU SAA HIVI. NDUGU YANGU MKEO NI RAFIKI YAKO CHUNGA SANA KUPIGA KAZI NJE YA NDOA OHOOO
 
mbona ziko nyingi za kununua... ni hela yako tu unapata huduma fasta badala ya kutafuta wake za watu..
 
Sidhani kama una mpango wa kufanya ila nachojua ni kuwa umekuja humu kuzingua tu. Km kweli ww ni mtendaji ungeshatenda muda tu. Ushauri wngu ni kuwa jaribu kuwa na mawazo ambayo ni positive zaidi. Jali afya yako mjali na mwenzako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom