Hey

Kingsimba

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
382
115
Me natafuta mtoto tuu...grama za mimba ni za mwanamke mimi natumia gharama kumlea tu.sina time na demu.......malezi uwe tayari kumuachia bibi yake mama yangu amleee....uhuru wa likizo ni juu ya mama.
 
Mkuu hii mbona rahisi tafuta mtoto wa ku-adopt.., kuna watoto wengi tu wanakosa malezi au hawana wazazi.., just look around
 
Mkuu hii mbona rahisi tafuta mtoto wa ku-adopt.., kuna watoto wengi tu wanakosa malezi au hawana wazazi.., just look around

yaaa najua ila me nataka my blood tuuu....nimuachie mama yangu copy yangu nipoteee!kazi yangu inanibana.
 
yaaa najua ila me nataka my blood tuuu....nimuachie mama yangu copy yangu nipoteee!kazi yangu inanibana.

Nafikiri your not serious, so watu hawana haja ya kuchangia kitu ambacho ni cha mzaha manake kama kweli wewe unataka damu yako tu na wala siyo mke basi imwage mbegu yako kwenye tt kisha incubert for 40wks at tmp 37[SUP]o[/SUP]c. kisha atazaliwa mtt umpelekee bibi yake
 
Mbegu zenyewe unazo? usikute unamwaga povu tu kama sabuni ya OMO ukafikir una mbegu. Unafanya masihara wewe waulize wenzio mtoto anakotoka.
 
Hebu kwanza kazungukezunguke, ukishakomaa akili yako ndo urudi humu...
 
Hebu kwanza kazungukezunguke, ukishakomaa akili yako ndo urudi humu...

hahahaha!mimi kazi zangu naweza ondoka dar nikarudi baada ya miaka miwili hadi mitatu tena niko porini na nikirudisina muda na demu zaidi ni kumsalimu bmkubwa na kwenda tena huko
 
Back
Top Bottom