Jimama

Kingsimba

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
382
115
Jamani sijui nimekuaje maana siku hizi sina hamu kabisa navitoto au wasichana wa umli wangu......
Nimejikuta nikipenda sana wanawake walionizidi umri sijui kwanini akipita demu antihivi au mmama napatwa na hamu hapo hapo.
 
Unahakika hutaki kulelewa kwa hilo jimama

maisha yangu me naweza kuyamudu mwenyewe coz ninamipango yangu inayonisaidia kuyakimu mahitaji yangu na kusonga mbele....sema sijui kwanini nikikamata mtu aliye nizidi umri nakua huru sana....yani nimekumbwa na mzuka huo tuu.
 
Laana hii
OTIS
 
Whatever tickle your fancy mkuu sio vibaya kila mtu na anachokipenda na ipe roho kile kitu inataka, ila sababu za watu kupenda wamama wakubwa baadhi ni zifuatazo (labda tafuta binti mdogo kwenye following qualities

1. Independence
2. Assertive
3. Intelligence (well some of them anyway, older women are like good wine they get better with time)
4. Money (well some of them / Independent hawakutegemei)
5. Mature
6. Less Drama
7. Experience (Sexually)
8. Experience (Relationshipwise)
9. Value your time
 
  • Thanks
Reactions: Sal
dalili mbaya hiyo utakuja anza 'kurefusha' shauri yako

alafu visichana havichelewi nirushie tigo pesa nina viatu vizuri nimeviona town mala nataka savana tano leo jioni...
Usafiri wa tabu ni kodi tax me nimechoka bana....
Jimama utasikia upo wapi?unaweza kufika leo?we unakula bata unarudi kama padri vile full mtiifu.
 
Unapenda kulelewa
 
Back
Top Bottom