Kuna rafiki yangu kaoa kikojozi.

fazaa

JF-Expert Member
May 20, 2009
2,984
1,026
Hii Alhamis kuna rafiki yangu kaoa, lakini matatizo mke wake ni kikojozi ana jikojolea kitandania sasa afanye nini.

Mimi nimemuambia avumilie tu, ule mkojo wake unaweza kuwa dawa kwenye mwili wake :biggrin1:
 
You cna't be serious fazaa, tell him to start to stock more diapers. Na huyo rafiki kaoa alhamisi leo hii siri za chumba ziko nje....
 
anunue diapers na mpira wa godoro maana mkojo wa m2 mzima(mkubwa) lazima utatoka 2 hahahahaha. . . . !
 
Hili tatizo usiombe likukute.... Ni lakusikia hapa hapa na kuliacha... Ingekua mwanaume ndio mwenye tatizo kwanza hata hapa isingeletwa maana Fazaa usingejua.

Hao wanandoa wana mtihani wa hali ya juu sana. Mikojo ya mtu mzima inavonuka? Tell him waanza utaratibu mpya else hawatafika popote maana hio ni Karaha! Waanze kwanza kwa kuweka alarm time ya kuwashtua atleast mara 3 kwa usiku mmoja... Inatakiwa tu huyo mwanamke asiwe mvivu or itakua disaster...
 
Sio fistula mkuu angalia bana.Halafu mambo ya ndani ya mtu yanakuhusu nini mkuu?Kweli watu hawana kazi
 
Kweli nisinge jua sababu mke wake asinge niambia mimi angeambia marafiki zake :A S shade:

@Thread, ushauri mzuri tamfikishia jamaa.
 
Sio fistula mkuu angalia bana.Halafu mambo ya ndani ya mtu yanakuhusu nini mkuu?Kweli watu hawana kazi
Dogo huyo ni rafiki yangu anatafuta ushauri, afu hayo sio ya ndani kwako ni ndani kwa rafiki yangu.

Sijamuingilia rafiki yangu ndani ya nyumba yake, yeye ndo anatafura njia ya kuondoka na matatizo ya ndani ya nyumba yake.
 
Kweli nisinge jua sababu mke wake asinge niambia mimi angeambia marafiki zake :A S shade:

@Thread, ushauri mzuri tamfikishia jamaa.

Acha kutuzingizia wewe! Angekua ni mwanamke hata rafiki zake asingewaambia kama rafikio alivofanya...lol
 
Ina maana wameoana bila kujua kuwa mdada ni kikojozi?
Mwambie aende kumuona mtaalamu
OTIS
 
Ina maana wameoana bila kujua kuwa mdada ni kikojozi?
Mwambie aende kumuona mtaalamu
OTIS
Yeap, hamna alie mueleza lakini alipo muliza wife wake mbona hujaniambia kama una matatizo haya, yule mke wake kasema alikuwa anamuonea haya.

Afu mwanamke ni bomba kweli kweli, yani kakamilika matatizo ndo hayo tu, na rafiki yangu hana njia zaidi ya kutafuta njia ya kumsaidia mke wake asiwe kikojozi.
 
Si unasema tu hapa, wanawake ndo wenyewe kutoa siri za ndani.

Nakubaliana na wewe... ila ya kukojoa believe me you hatoi... Sijui awe na akili matope kiasi gani. Otherwise anaemwmabia ana dawa ya kutibu.
 
Nakubaliana na wewe... ila ya kukojoa believe me you hatoi... Sijui awe na akili matope kiasi gani. Otherwise anaemwmabia ana dawa ya kutibu.
Naona unaongela kwa wanawake wote utadhani wewe ndo unajua usiri wao.

Rafiki yangu kwani kasema kwa kila mtu, sikasema kwangu na baadhi ya marafiki zake...ambao sio vichaa watamfichia siri zake.

Yani mimi ku uliza hapa swali sidhani kama wewe umeisha mjua mke wake au vipi.

Yani tunajaribu kumsaidia mke wake asiwe kikojozi na rafiki yangu anampenda mke wake ndo sababu anatafuta njia ili mke wake awache kuwa kikojozi, mana alipotoka huko kwa wazazi wake walishindwa kumsaidia.
 
Nakubaliana na wewe... ila ya kukojoa believe me you hatoi... Sijui awe na akili matope kiasi gani. Otherwise anaemwmabia ana dawa ya kutibu.
ni mke wake anadanganya ni mke wa rafiki yake, hujashtuka tu!? Rafiki kaoa alhamisi kalala na mke siku 2 tayari kashamfikishia fazaa habari! Lol uongo bana ni mke wa fazaa
 
Back
Top Bottom