Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau habarini za usiku. Muda mchache tu uliopita nimetoka kwa swaiba wangu nyumbani kwake ambapo alinita nikajaribu kusulihisha kadhia iliyokua imetokea baina yake na mkewe. Kadhia...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
In the world of romance, one single rule applies: Make the woman happy. Do something she likes & you get points. Do something she dislikes & points are subtracted. You don't get any points for...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimepoteza mapenzi kwa huyu binti na sijui kwa nini. Ni mzuri kwa sura na umbo, kakamilika kila kitu. Nikikiri ni demu kali kati ya mademu niliowahi kuwa nao. Ananipenda naamini, hajakaa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Yaani huyu jamaa kamuoa dada yangu kabisa.. Jana jioni kanipigia simu, bwana shem njoo hapa- (hotel moja maarufu city center) tupunguze foleni. Nilikua na kiu kwelikweli dakika sifuri nikawa...
2 Reactions
88 Replies
8K Views
tunaishi nae compound moja ana mke sina muda nao kabisa kabisa one day nikatoka kwenda shop akaniomba no maana linaweza kutokea tatizo kama jirani tusaidiane nikampa from there kila siku...
7 Reactions
64 Replies
5K Views
Wandugu, Mwanzoni wakati nikiwa sekondari(o levo) ndo tatizo lilipoanza......wanaogopa sana mazoea na mimi...sikujali sana make sikuichukulia serious....... Nikaja advance,bahati nzuri nilisoma...
0 Reactions
54 Replies
7K Views
Wanajf wenzangu, leo naadhimisha miaka 30 tangu nizaliwe. Nawashukuru sana wanajf wote maana napata mengi humu ndani.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
MLIWEZAJE KUKAA PAMOJA KWA MIAKA 65??? "Tunatokea katika kipindi ambapo kama kitu kikivunjika tunakiunga, na sio kukitupa." Imekaaje hii wakuu kilinganisha ni hiki kizazi cha ‘dot...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Naitwa Sylvatory Nipo Moro Anaetaka Pumziko La Penzi Tamu Anicheki 0714455551
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi jaman jana yamenikuta ya kunikuta nikanyimwa hadi 2nda la kati eti kisa wakati nimenogewa na mashamsham ya maandaliz ya kuingia mchezon si nikatia kidole kwenye 2nda lenyewe WEE!! demu...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Habari zenu, mimi na huyu mwanamke tuko hapa Aman-Jordan tumefika hapa mchana tukitokea dubai tulipokutania yeye akitokea Dar alinikuta Dubai kwa vile yeye aliniambia nitangulie ili nimtafutie...
0 Reactions
69 Replies
7K Views
  • Closed
Kwenye sentensi nyingine, Ray ameamplfy kwamba “kwa hiyo anataka kuwadhihirishia watanzania kwamba Ray ndio anahusika na hicho kifo, baada ya hilo nimeshirikiana na polisi na kushitaki na...
2 Reactions
0 Replies
4K Views
Naitwa Sylvatory 27 nipo moro natafuta ajuae kupenda anaeheshimu hisia niko ready kumpa muda wowote akitaka alie serious anicheck 0714455551 sina vigezo zaidi ya penzi la dhati
0 Reactions
5 Replies
2K Views
alikuwa demu wangu, akanitosa, akaenda kwa sharobaro..akatendwa akarudi kajaa..analia..nikamsaidia akaiachia..akawa huru tena...ikapita miezi miwili..nikiwa namsaidia matumizi..akapata nwingine...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Ni mara nyingi najiuliza ninani anapaswa kusema asante kwa mwenziye wanapomaliza ile kazi kubwa ya wawili wapendanao mume na mke,bf na gf nk namaanisha tendo la ndoa na asante inaweza kuwa...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Nimatumaini yangu hamjambo wote humu ndani na naheshimu sana busara zenu,mimi nimeoa na nina watoto 2, ndoa yangu imeingia doa na iko mashakani kuvunjika, kuna mwanaume nilikuta ujumbe wake kwenye...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Thread closed,
0 Reactions
60 Replies
5K Views
Hello JF? Natafuta mpenzi mwenye sifa zifuatazo:- JINSIA : MWANAMKE (asiye kwenye ndoa) UMRI: >= Miaka 18 ELIMU: Kuanzia Sekondari hadi Chuo Kikuu KAZI: Awe ni Mfanyakazi au...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Hivi mnajua kwamba karibu wanaume watano kati ya kumi wanakabiliwa na uhanithi wa aina fulani? Fasihi mbalimbali za tafiti kuhusu hali hii kwa wanaume zinaonyesha kwamba, zaidi ya asilimia 52 ya...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Back
Top Bottom