HELP!!!!! I think am sick. And it is not about SEX!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HELP!!!!! I think am sick. And it is not about SEX!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Erotica, May 25, 2012.

 1. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sina shida ya kumuwaza mtu kila mara sababu huwa nawaza watu 7 ama 8 kwa mpigo.
  Yaani naweza mkumbuka mmoja kwa ucheshi, hapo hapo nikamkumbuka mwingine jinsi alivo handsam,
  huku nikimkumbuka mwengine kwa utalaamu wake wa kunikuna n.k. Au wakati mwingine
  naguswa moyoni hata mara 10 na watu 10 tofauti kwa siku, kutembelewa na watu kama 7 katika
  ubongo wangu ama kama 13 rohoni kwangu.

  Sasa ya leo kali, nina siku ya 4 namuwaza huyu mmoja tu! Sipendi na wala sijawahi maishani mwangu
  kuwaza mtu mmoja, sioni mantiki na naona nikiwaza mmoja wengine nitawapoteza sababu huwa nakuwa
  nao na kuwatafuta sababu nao nawawaza. Sasa amekuja huyu kawa king'ang'anizi ndani ya moyo wangu,
  akiwa kama ganda kwenye ubongo wangu na kajenga kivuli cha muonekano wake machoni pangu.
  Kila saa ni yeye hapishi wengine. Ananiboa na ananiharibia mood maeneo mengine ya mwili.
  Na kubwa kuliko ananiharibia mipango yangu ya kuwa mama wa watoto mapacha.
  Uzuri yupo hapa hapa jf kwahio msg sent! Kaka tafadhali nikome!

  Kaunga my sweetest I need you now more than ever! wea ar u my love?

  Nisaidieni wapendwa katika bwana, ni ugonjwa gani huu? mwenzenu Ero haujawahi nipata!
  Dr. Mzizi Mkavu na wengineo msaada plz. Am I sick? Na kama naumwa dawa yake nini?


  No mwaaaaah. I think am Sick.:A S cry:
   
 2. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  erotika pole! hayo ni ya kawaida, inaelekea ana vigezo ningi vilivyowazidi wenzie, hebu mpe nafasi uone moyo wako kama utaridhia.
   
 3. biggirl

  biggirl Member

  #3
  May 25, 2012
  Joined: May 25, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyo ni yule anayekukunaga au ni stranger?
   
 4. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Kazi ipo,tena kubwa sana ngoja waje wengine huenda wakachangia coz am speechless this moment!
   
 5. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Erotica hauishi vituko! Kama yuko hapa JF jaribu kuongea nae, maybe you will stop thinking about him. careful, don't fall...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  Nimeshamuua. Imebaki tu maiti hapa rohoni. nashindwa kutoa hiyo maiti.
   
 7. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,294
  Likes Received: 8,393
  Trophy Points: 280
  mi hapo hapotu:A S 12:
   
 8. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #8
  May 25, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Nikiskia bint amesema haya huwa nahisi baridi!
   
 9. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #9
  May 25, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  ndoto za stranger ziliisha zimebaki tu ndoto na Ndahani. ila uzuri sie,

  anayenikunaga nimempa livu mana ananitia tu uvivu, mzuks hamna kabitha.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #10
  May 25, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  kufall ndio kufanyaje RussianRoulette? siwezi kuongea nae, kanisababishia ugonjwa nimfuate? No way!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #11
  May 25, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  basi mpe za uso, ila take care asijepata mtikisiko wa ubongo! coz amependa asipopendwa! have u ever fallen kwake?? kiukweli or its just matamanio?
   
 12. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #12
  May 25, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,744
  Likes Received: 8,007
  Trophy Points: 280
  Moja kati ya mambo ambayo nitakazania yaingie kwenye katiba mpya ni kuhalalisha TOHARA YA WANAWAKE. Jamani eeh, hako kakidude nako kakiwa karefu hujisugua kwenye mapaja na matokeo yake ndio mada za namna hii ambazo MMP nikitoa maoni yangu tu, one of the female mods ananiPM kwa mikwara.

  Dawa ya tatizo lako ni kurudia mila
   
 13. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #13
  May 25, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kua utayaona. Never say never.
   
 14. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #14
  May 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,852
  Trophy Points: 280
  Erotica binafsi leo nimekuwaza sana nilikaa mahali nikakumbuka post zako nikajikuta nasema hivi erotica mbona tangu jf irudi hewani simuoni? nikaongezea labda katingwa na majukumu lol! kumbe nilikuwa nakuita shostito wangu.

  turudi kwenye topic, huyu aliyeubeba moyo wako kwa kias kikubwa kwanza kabisa anakitu tofauti sana na wengine wote, ambacho wewe @ first site hujakiona. Pia kuna kitu ambacho huwa kinakuwaga kwa yule wakwako kiukweli ambacho that thing can speak inside your heart.

  sasa fanya hivi, kwanza muweke umlinganishe na wengine 10 ndani ya akili yako, ukiona haondoki jua huyo ni wako ila akiondoka jua upendeleo ulikudanganya. Tena wakati unamlinganisha yeye mweke akilini na 5 hivi halafu mbadilishie chumba mwingize moyoni na wengine 7 uone. this is the only medication
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #15
  May 25, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  jamani mwacheni erotica aitwe erotica.
   
 16. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #16
  May 25, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  Umekosea. simpendi hata kidogo. namchukia.
   
 17. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #17
  May 25, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ni hali ya kawaida kwa binadamu inafika sehemu akili inatawaliwa na mtu mmoja tu....
  Ajabu ni pale ambapo mie nakutwa na hali kama hiyo kwa Erotica lakini yeye anakutwa na hali kama hiyo kwa Kaunga
  aisee!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #18
  May 25, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mwana Mtoka Pabaya inaonesha waijua dawa. kurudia mila ni dawa gani?

  alafu huyo mod umemkosea nini na hali ni post yako ya kwanza au mmetoka mbali wayaleta kwangu nikupoze?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #19
  May 25, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  unanitisha mod. tafadhali nieleweshe naumwa mwenzio.
   
 20. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #20
  May 25, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  omg. this is a lot of hard work, naona ka siwezi.

  gfsonwin i feel beta kuwa ulinikumbuka. mwaaaaaah 2 u.
   
Loading...