Natafuta rafiki wa kike kutoka Tanga.

sekibwando1

Member
Apr 20, 2012
6
1
Ninahitaji rafiki wa kike aliye mstaarabu umri kati ya miaka 18 hd 25,dini na kabila sio kikwazo ila awe mtu asiyjichubua au kutumia vipodozi hatarishi. mtu ambaye sio tegemezi na anayejituma elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea, aliye tayari plz contact jpet25@hotmail.com
 
amevutiwa na sifa za mabinti wa kitanga, waweza kula kungu weye????????????????
 
Na wewe msambaa wa wapi na sifa zake zengine tunataka tuzijue
huyu siyo msambaa ila amevutiwa na sifa, sifa nyingine
awe mkata kiuno speed 360m/s
awe mjuzi wa kula kungu
awe hodari wa kumbeba mume mgongoni kupeleka bafuni
awe anajua kuutumia kama.............. na kuusafisha
aweanajua mapish mchele kg1 nazi 6, na mpishi mahiri wa supu ya pweza na ngiri, pamoja na papa
awe mjuzi wa kuunga maji ya kuoga ...............................
nyingine ongezea
 
sifa muhimu ni hizo tu jamani,km kn nyingine ni za kawaida tu,mm si msambaa ni mbondei wa Bonde,yeyote aliyevutiwa nami ajitokeze....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom