mkome wake za watu!

Yaani watu wangelijua wakaacha huo mchezo jamani! kuna watu hawanaga msamaha.....unapewa ujira wako hapohapo!

Ila sasa...inakuwaje kwa huyo mke mwenyewe aliyezini, ameachwa tu???
 
siyo mke tu hata mume wa mtu naye ni sumu. busara n kutafuta ingizo lako uliweke ndani.
 
Hii nimeinyaka kwenye gazeti la 'mwananchi' la leo uk 11:
AUAWA BAADA YA KUFUMANIWA
Joseph Lyimo,Kiteto
mkazi wa kijiji cha Weza wilayani Kiteto mkoani Manyara ameuawa kwa kuchomwa visu mwili mzima baada ya kufumaniwa na mke wa mtu.....
Aliyeuwawa ni huyu au huyo ni mwandishi tu wa hiyo habari
 
Faida yake nini sioni faida ya kutoa uhai wa mtu sababu ya K..Mke wako kama anafanya sex na mwanaume mwingine ni bora umpige talaka zake arudi kwao kuliko kuchukua uwamuzi wa kutoa mtu roho.

"The strong man is not the good wrestler; the strong man is only the one who controls himself when he is angry." (The Prophet Mohammad)

"To overcome evil with good is good, to resist evil by evil is evil." (The Prophet Mohammad)
 
mtukomage kabisa.....tukiwaambia tuna watu wetu mnatung'ang'ania.....haya sasa.....
We Preta

Hakuna kulala mpaka kieleweke. Tutabanana mumo humo. Inzi kufia kwenye kidonda ni ushujaa bana!
 
Last edited by a moderator:
Pole ya nani Lizzy

Ya aliyeuliwa (kwa kufumaniwa)
Au atakayenyongwa (kwa kosa la kuua)
Au la atakayebaki mjane? (Mke wa marehemu)
Au la atakayebaki mkiwa (Mke wa muuaji)
Aliyeuwawa.

Aliyeua anaweza akaishia kukaa jela kidogo tu, Mke wa marehemu kaepushwa na magonjwa. .uzinzi wa mumewe si ajabu na mengine mengi, mke wa muuji bado ana nafasi ya kuendelea kuwa mzinzi hivyo siwezi kumpa pole.
 
Last edited by a moderator:
Kiteto wao labda hiyo ni kesi kubwa...huku mjini je? Au naona kitu tofauti? Mbona kama watu hawajari kabisa kama hilo nalo ni tatizo
 
Back
Top Bottom