Kwa Wanandoa: Conjugal Right/Haki ya tendo la ndoa

Ronn M

JF-Expert Member
May 2, 2012
1,279
683
Kwa wale waliooa, kupata tendo la ndoa ni haki ya kimsingi! Ikitokea mwenzio hakupi haki hiyo, basi unawezakwenda mahakamani kudai haki yako!

Mahakama yaweza kufanya nini?

Kwanza itatamka wazi kuwa mdai ana haki ya kupatiwa tendo la ndoa.

Pili itatoa amri (Decree) kuwa anayelalamikiwa aanze kutoa haki hiyo kwa mwenzi wake!

Je ikitokea mdaiwa akagoma kutoa haki hiyo? Mahakama itamwamuru mdaiwa kulipa fidia kwa muda maalumu itakaoona unafaa!

Nakaribisha kama kuna swali tafadhali
 
...Wengi hasa nchini kwetu mara nyingi hawako tayari kwenda mahakamani, hutafuta suluhisho kupitia kwa Wazazi na ndugu wa karibu. Ikishindikana basi hali hii ya kunyimwa nanihii inaweza kabisa kuwa chanzo cha ndoa kuvunjika.
 
Mpaka mwenzio kunyima nanii hivi ana lengo gani? Vipi kuoa/kuolewa kuna faida au raha gani mpaka kupelekana mahakamani?
 
kuna raha gani kuifuata mahakamani hii haki?

Atakuvalia shanga kweli au kukuvibrate?

In the first place you may say there is no any pleasure! Lakini kuna wanaume wengine kwa sabbu kadha wa kadha wamewasahau wake zao. Nafahamu Prof mmoja udsm aliyewahi kushtakiwa na mkewe maana mara zote yeye huzunguka kuresearch na kuandika vitabu. Pengne mahakama inaweza kumshtua
 
kuna raha gani kuifuata mahakamani hii haki?

Atakuvalia shanga kweli au kukuvibrate?
Kongosho bado unalo la kuvibrate? sasa hebu nikuulize swali umeolewa? kama ndiyo nipm ntakwambia kitu kitamu sana.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mpaka mwenzio kunyima nanii hivi ana lengo gani? Vipi kuoa/kuolewa kuna faida au raha gani mpaka kupelekana mahakamani?

Ever heard this concept of loosing interest? Sasa wenzetu wazungu wanayo. U cant divorce, hutaki kutoka nje, u go to court
 
Ever heard this concept of loosing interest? Sasa wenzetu wazungu wanayo. U cant divorce, hutaki kutoka nje, u go to court

Hiyo kwenda kwenye court nikitendo gani mahakama kitafanyika ili mwenzio afanye tendo la ndoa na wewe au kutoa fidia kwa ajili ya nini haswa sijaelewa kiufupi?
 
Ni hivi, mahakama inapotoa amri inategemea huwezi kudharau! Mfano kuitwa mahakamani, kusitisha ujenzi, kutomumbua mtu nk! Sasa ikitokea umegoma kutii mahakama inaamuru ufungwe jela (ndiyo maana mkapa alikwenda kutoa ushahidi otherwise angekuwa keko). kwa kesi ya kudai haki ya tendo mahakama inaamini ikitoa amri utafuata. Sasa ukigoma sheria inakataza kufungwa, na polisi hawawezi kukushikia SMG um-do mkeo, madamu umepoteza haki basi unalipwa fidia kama inavyokuwa unapopoteza haki nyingine
 
Na labda kwa kumbukumbu niseme swala hili lipo chini ya sheria ya ndoa ya 1971 na ya mwenendo wa makosa ya madai ya mwaka 1966
 
mtu atamnyimaje mwenzi wake tendo hilo jamani.???
yani mtu anasema nipe mwenzi anajibu sikupi au inatokea wakiwa wamegombana labda ila ki hali ya kawaida huyo anayemnyima mwenzio atakua ni mgonjwa labda kwa siku izo alizomnyima
ila sizani kama mtu anaweza kumnyima mtu bila sababu
 
Umeshaambiwa ataamriwa, au hujasoma?

Mahakama itajiridhishaje kama maamuzi yake yanatekelezwa ipasavyo? Na vipi endapo kila upande wa mashtaka ukivutia upande wake, kwamba mdai akisema sipewi, mdaiwa akidai anampa. Pagumu hapo...
 
Mahakama itajiridhishaje kama maamuzi yake yanatekelezwa ipasavyo? Na vipi endapo kila upande wa mashtaka ukivutia upande wake, kwamba mdai akisema sipewi, mdaiwa akidai anampa. Pagumu hapo...
Aliyeshtaki atatoa taarifa ya maendeleo.

Hapo sasa ndipo mahakama ilipo na kazi ya kujidhihirishia nani mkweli na nani muongo. Kazi ambayo sio ngumu sana maana anayeshtaki sio rahisi akapoteza muda kwenda mahakamani kushtaki kitu kisichokuwepo, labda kama tu anataka kumkorofisha mwenzie kupitiliza.
 
Back
Top Bottom