Inakuaje pindipo hatua hii ikifikiwa Mwanamke hubadilika Moody ghafla ?

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Wana wa Bodi , habarini za usiku.
Mwanamke iwe mnafanya kazi pamoja, au umesafiri nae, ama iwe mmeshazoena kwa muda.
Na ikawa hujamtongoza, mtaongea vizuri na atakua kawaida.
Mistake pale utakapoanza kumtongoza tu, mwanamke hubadilika mfano, ataanza kua na aibu (hutokea unamuongelesha akakutega mgongo).
Kuuma kucha, kukatakata vikonyo vya majani endapo eneo hilo yatakuwepo.
Hata kama alikua muongeaji mzuri kabla tongozo, huenda akapoteza umahiri huo after tongozo.
Wengi wenu ni mashuhuda wa niyasemayo.
Nini sababu yake?
Nawasilisha.
 
Wewe acha uongo kabisa wanawake wa siku hizi siyo wale wa karne ya 19!!!! Huna hela kafie mbele ya safari na maneni yako mingi, nani ajing'ate kidole wakati mdomo upi eboooooo?
 
Hao watakuwa ni under 20 tu. Si wakomavu hatuna hayo. Kama anakufanyia hivyo basi ndo kakubali huyo.
 
Wewe acha uongo kabisa wanawake wa siku hizi siyo wale wa karne ya 19!!!! Huna hela kafie mbele ya safari na maneni yako mingi, nani ajing'ate kidole wakati mdomo upi eboooooo?

hahahaaaaaaa, Hana hela afie mbali... JF mweee. Eti Tukate majani wapi huko?
 
sikumbuki mara ya mwisho kuwa na aibu ni lini, labda wakati nabalehe......

Sijawahi kung'ata kucha wala kula majani.....

Ila kama mwanaume kanivutia namfuata kumwambia akubali akatae shauri yake....

Na ukinitokea wakati sikumind nakwambia ukingpang'aniza nakuoa za uso....unune usinune utajiju......
 
Wewe acha uongo kabisa wanawake wa siku hizi siyo wale wa karne ya 19!!!! Huna hela kafie mbele ya safari na maneni yako mingi, nani ajing'ate kidole wakati mdomo upi eboooooo?

Wewe kidogo nilitaka nitumie mda kukujibu, kwa vile members pumba style yako wengi walishapungua hapa Jf , wakarejea fcbk, nimekuta join date yako 24 may 2012 !
Na leo 26 may 2012 ! UNA SIKU MBILI Jf !
Hence sipotezi muda wangu kukujibu chochote! Vinginevyo nitakua kwenye rank or same type like you are !
Hapa hua tuna'play with ball, not player ! Unaonaje tu ungekata kona za mbali na hii Srade? Ni poa tu , kijana sio lazima kila tundu utie maguu!
 
sikumbuki mara ya mwisho kuwa na aibu ni lini, labda wakati nabalehe......

Sijawahi kung'ata kucha wala kula majani.....

Ila kama mwanaume kanivutia namfuata kumwambia akubali akatae shauri yake....

Na ukinitokea wakati sikumind nakwambia ukingpang'aniza nakuoa za uso....unune usinune utajiju......

BT mambo? Leo kutwa sijakutia machoni, kulikoni? Afu unajua hii comment yako hapa, mbona umeijibu kama kiutaniutani hivi? (kimaono yangu) hivi ulivyofunguka ndivyo kweli ?
Are you serious ?
 
poa, leo nilibanwa na vishughuli fulani....
Weekend inaendaje?

Kuhusu niliyoandika.......loh ni kweli tupu i see....aibu ya nini jamani?
 
Ok ! Nimekusoma, si wanasema kichwa ya mtu serikali ya mtu. Naiheshimu Serikali yako.
Weekend kwangu si nzuri sana, hivi nachart niko safarini, wik'end nzuri hometown bhana, uongo ?
 
Wewe kidogo nilitaka nitumie mda kukujibu, kwa vile members pumba style yako wengi walishapungua hapa Jf , wakarejea fcbk, nimekuta join date yako 24 may 2012 !
Na leo 26 may 2012 ! UNA SIKU MBILI Jf !
Hence sipotezi muda wangu kukujibu chochote! Vinginevyo nitakua kwenye rank or same type like you are !
Hapa hua tuna'play with ball, not player ! Unaonaje tu ungekata kona za mbali na hii Srade? Ni poa tu , kijana sio lazima kila tundu utie maguu!

Hapo hujafanya fair Judgement....ni kweli alisemalo Bado Kidogo ila jinsi ya kuexpress imemtatiza. Ni kweli hakuna wa kung'ata vidole wala kukata majani kwa Miaka hii, labda sijui.... Sijajua reaction yako imetoka wapi.
 
Ok ! Nimekusoma, si wanasema kichwa ya mtu serikali ya mtu. Naiheshimu Serikali yako.
Weekend kwangu si nzuri sana, hivi nachart niko safarini, wik'end nzuri hometown bhana, uongo ?

aaaaah sana, raha ya weekend mjini.....
Nikutakie safari njema, mie nasinzia kimtindo....
 
Wana wa Bodi , habarini za usiku.
Mwanamke iwe mnafanya kazi pamoja, au umesafiri nae, ama iwe mmeshazoena kwa muda.
Na ikawa hujamtongoza, mtaongea vizuri na atakua kawaida.
Mistake pale utakapoanza kumtongoza tu, mwanamke hubadilika mfano, ataanza kua na aibu (hutokea unamuongelesha akakutega mgongo).
Kuuma kucha, kukatakata vikonyo vya majani endapo eneo hilo yatakuwepo.
Hata kama alikua muongeaji mzuri kabla tongozo, huenda akapoteza umahiri huo after tongozo.
Wengi wenu ni mashuhuda wa niyasemayo.
Nini sababu yake?
Nawasilisha.

eeeh??hivi wa style hizo bado wapo??
 
Hapo hujafanya fair Judgement....ni kweli alisemalo Bado Kidogo ila jinsi ya kuexpress imemtatiza. Ni kweli hakuna wa kung'ata vidole wala kukata majani kwa Miaka hii, labda sijui.... Sijajua reaction yako imetoka wapi.

Reaction occured due methods approchin' language yake haikua nzuri.
Humu wengi tu watu wazima, lugha za staha ndizo hutawala, na ni rahisi sana kumtambua anaekuja imune za fcbk! Au kwengineko.
Mf. Huyo jamaa niliposoma tu comment yake, huoni nikalazimika ku'mcheck ajira yake Jf ni ya muda gani, nakuta ana TWO DAYS kaja juzi !
So utasumbuka nae nini tena ?
Unamuangalia tu!
 
sikumbuki mara ya mwisho kuwa na aibu ni lini, labda wakati nabalehe......

Sijawahi kung'ata kucha wala kula majani.....

Ila kama mwanaume kanivutia namfuata kumwambia akubali akatae shauri yake....

Na ukinitokea wakati sikumind nakwambia ukingpang'aniza nakuoa za uso....unune usinune utajiju......

we mwongo 2 tena ka cjakosea ndo wale*2 wang'ata kucha!
 
hahaa Judgement to my side mtu ambaye tumekuwa marafik wa muda mref nahc ni ngumu kuwa wapenz i.e.tunafanya ofc 1 au tunakaa mtaa m1 make utakuta tunashare mambo mengi. km ikitokea akantongoza huwa nampa tu ukwel kuwa hapa hatuwez kuwa wapenz.afu kingne unafkr kuna kutongozana ni ile mnataniana et c unipe kdg,mara km mmesafr c tulale pa1 km kaka na dada,ama c uje tulale kwangu thn naichukulia km utani maana mkianza mapenz tu urafk utakufa ama utapungua. binafs cpend mapenz ya style hyo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom