Habari zenu wana jamii,
Leo nina ushauri kwa wale walioko kwenye ndoa, na nimeona niwape ushauri huu kufuatia yalompata dada yangu.
Dada yangu aliolewa miaka ya 1990 na baba mmoja ambae by that...
Wakuu,
Nimekuwa nikikumbana na changamoto nyingi sana katikamaisha lakini kubwa ni wanawake kutaka niwe nao kimapenzi.
Nilifikiria nikaona njia ya pekee ya kuwaepuka ni kuwaheshimu. Siunajua...
Bado niko njia panda kuwa je ni kweli wanawake wanaona aibu kuelezea shida zao hadharani zaidi ya wanaume kwa nyakati hizi? Je, ni kweli wanaume wana wivu wa asili zaidi ya wanawake?
Ukiangalia...
Hakimu akasema ndoa ya Mohamed ilikuwa na shangwe na zaidi ya hapo ilifanyika baada ya matangazo ya siku 21
(Picha haihusiani na habari hii.)
Je, umeshawahi kusikia mtu anashitakiwa kwa kuzini...
Hivi ukijua mwanaume anaekutongoza na amekuambia atakuoa,halafu pia ni bikra wa kiume,yaani hajawahi kugusa "box manyoya",je utakubali au utamuona kama mshamba na asiejua lolote?Jamani nataka...
Kitabu kitakuja na cover price ya 18,000; mojawapo ya maduka makubwa nchini ambayo tumeomba tuweze kuuza wao wanataka 40% ya cover price! hii ni sawa na 7200Ths. Angalia:
Gharama ya kuchapa...
Nina watoto 2 wa kiume na nilishapeleka request kwa Sir God anipe mtoto wa kike lakini kwa haya niliyoona leo, nawaza kuwithdral request yangu! Imekaa hivi:
Jirani yangu ana binti (ni...
Imepita takribani miezi mitatu huku tukichat kwa sms na kupigiana simu mara kwa mara tangu tufahamiane hatimaye kubadilishana namba za simu, amekuja Tanzania kama mfanyakazi(engineer) na yupo...
Habar wana jf,mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 27, ni mkristo,na ninasoma chuo kikuu cha UDSM,mwaka wq mwisho,hivo ninatafuta msichana mwenye umri kuanzia miaka 20-26, awe mkristo,mtii,na...
mimi ni kijana mtanzania mwenye umri wa miaka 30,natafuta girl friend mwenye sifa zifuatazo:
Umri asizidi miaka 40,
Dini yeyote
Kabila lolote
Awe mweusi na kama ni weupe sharti uwe wa asili...
Habari ya asubuhi wanajamvi, namshukuru Mungu nimeamka salama.
Jana baada ya shughuli za siku nzima nilirudi nyumbani kwangu, na muda wa kulala ulipofika nikavaa nguo zangu za kulalia nikalala...
Wakuu heshima mbele
Leo ingekuwa mara yangu ya kwanza ku date nae lkn amekuja anayumbaa yumba watu wamenishanga kweli nimepata aibu ya mwaka .kifupi huyu binti nilikuwa namuona mstaarabu sana leo...
Wanaume wengi wa sikuhizi hasa wababa.akiwa anataratibu za kutaka kukutongoza ukikutananae njian anakusalimia kwa mkono afu anauvutia mkono wako kwenye nyet zake..ndo nin sasa?
habr za jumapili wanajamvi, shost angu kakutana na mbaba anayemzidi 21 years. huyo mbaba alioa mke wa kwanza akafa,then akaoa mke wa pili pia akafa but co kwa hiv. huyo mbaba kasema yukn tayar...