Eti wanawake wa bongo hawajui .......

mito

JF-Expert Member
Jun 20, 2011
10,513
10,404
Jamani kuna malalamiko toka kwa baadhi ya wanaume wa kitanzania kwamba wanawake/wasichana wengi wa kibongo hawajui maana ya kuolewa. Eti wanadhani ni kupata mahali pa ku-deposit matatizo yao. Matokeo yake sasa;

1) ukishamuoa halafu akagundua kwamba huwezi mtatulia matatizo yake, atakuacha au atakufolenisha

2) pia ukishamuoa halafu akawa na uwezo wa kuyatatua mwenyewe, ataanza nyodo

3) na akiwa na uwezo wa kuyatatua mwenyewe kabla ya kuolewa, ataanza kuona ndoa ni 'subsidiary', na anaweza asitake kuolewa kabisaaa

Wana JF mnasemaje kuhusu huu mtazamo? toa maoni yako basi!
 
kaka yangu mito hayo uliyoyasema yapo kweli na huwa tunayaona katika maisha ya kila siku. Lakini mim naona mbona kuna kundi linalowakilisha wanawake wengi tu na la wale wanaoolewa kwa mapenzi ya kweli ya kuwa wazazi na wake kwa spouses wao.

kundi hili huwa haliangalii kipato wala uwezo mtu wala sura wala cheo yaani kwa hili they don't depend on external things bali wanaangalia utayari na upendo tu. kundi hili halina zaid ya utayari wa moyo na upendo uujazao moyo na kwa mwanamke wa aina hii kwake hata kama watalala chini ama watu waseme bado wataelea kwenda mbinguni tu.

mwanamke/wanawake wa makundi uliyoyataja hapo juu ni wale wanaowakilisha tabia mbaya sana katika jamii na ambao kutokana na tabia zao hizi basi na wengine walio n autayari na moyo wa upendo wanajikuta wamechanganywa humo humo. Binafsi mwanamke mwenye busara hataangalia external factors wala hataangalia returns bali ataangalia nampendaje mwenzi wangu and thats all.
 
Last edited by a moderator:
just jiamini na uingie kwenye ndoa, think positovely with no assumptions! UKISEMA LIWALO NA LIWE NDIO HIVYO MWISHO WAKE UTAANZA KUONA U-DHAIFU!!!
 
kaka yangu mito hayo uliyoyasema yapo kweli na huwa tunayaona katika maisha ya kila siku. Lakini mim naona mbona kuna kundi linalowakilisha wanawake wengi tu na la wale wanaoolewa kwa mapenzi ya kweli ya kuwa wazazi na wake kwa spouses wao.

kundi hili huwa haliangalii kipato wala uwezo mtu wala sura wala cheo yaani kwa hili they don't depend on external things bali wanaangalia utayari na upendo tu. kundi hili halina zaid ya utayari wa moyo na upendo uujazao moyo na kwa mwanamke wa aina hii kwake hata kama watalala chini ama watu waseme bado wataelea kwenda mbinguni tu.

mwanamke/wanawake wa makundi uliyoyataja hapo juu ni wale wanaowakilisha tabia mbaya sana katika jamii na ambao kutokana na tabia zao hizi basi na wengine walio n autayari na moyo wa upendo wanajikuta wamechanganywa humo humo. Binafsi mwanamke mwenye busara hataangalia external factors wala hataangalia returns bali ataangalia nampendaje mwenzi wangu and thats all.

Kwahiyo gfsonwin tunaweza kusema wanaume wenye mtizamo niliouelezea ni wale ambao hawajakutana na wanawake waliopo kwenye hilo kundi lako la red, makes sense!
 
Kwani ukifolenishwa una wasiwasi gani wakati wewe ndo unakuwa mwanzo wa mstari? Mtaipata mwaka huu wallah!

Kama kawadia yako King'asti, lazima uchome vijembe kwa mbaali, haya bana!
 
quote_icon.png
By gfsonwin

kundi hili huwa haliangalii kipato wala uwezo mtu wala sura wala cheo yaani kwa hili they don't depend on external things bali wanaangalia utayari na upendo tu. kundi hili halina zaid ya utayari wa moyo na upendo uujazao moyo na kwa mwanamke wa aina hii kwake hata kama watalala chini ama watu waseme bado wataelea kwenda mbinguni tu.
Na wengi wao wanaishi vijijini, kwani hawa wa mjini hata kama anaimba wokovu hamna kitu, labda kaweza Frola Mbasha tu!
 
Kwahiyo gfsonwin tunaweza kusema wanaume wenye mtizamo niliouelezea ni wale ambao hawajakutana na wanawake waliopo kwenye hilo kundi lako la red, makes sense!

that is definitely true. na hii inatokana sana na kwamba wamnaume wengi wanaangalia external factors juu ya mwanamke like uzuri, anavaaje anapendazaje, ni mtu wa viwanja kivipi and so on. hawaangalii mwanamke mwenye hekima na busara ya maisha.
 
Na wengi wao wanaishi vijijini, kwani hawa wa mjini hata kama anaimba wokovu hamna kitu, labda kaweza Frola Mbasha tu!

mmh! hapo kwa flora mbasha sina la kusema ila hata hapa mjini wapo wengi tu. ishu ni muda ulionao wa kumchagua na kumuobserve. kama weye ukikutana na mdada siku ya kwanza few months you call for wedding what do you expect?
 
ipo pia, ingawa ni kitu ideal , binadamu tumetofautiana tabia, so sio sahihi pia ku generalize
 
Mito, mie mnaniudhi. Mnafuata wanawake vimeo, wasio size zenu afu unarudi kulalama hapa! Akhuu! Unataka mwanamke mwenye maadili, shurti uwe na maadili kwanza ww ndo umpate!

Kama kawadia yako King'asti, lazima uchome vijembe kwa mbaali, haya bana!
 
Unajua mwanaume kabla ya kuoa unatakiwa ujipange na ujue jinsi ya kukabiliana na ndoa iliyopo mbele yako! Lazima uwe stable kwenye kila kitu ili uweze kutimiza majukumu yako..mwanaume ukioa then ukawa hutambui majukumu yako wewe unachojua ni kumpa mke wako mimba tu what do you expect??lazima mwanamke atakudharau ati !!
 
quote_icon.png
By gfsonwin
mmh! hapo kwa flora mbasha sina la kusema ila hata hapa mjini wapo wengi tu. ishu ni muda ulionao wa kumchagua na kumuobserve. kama weye ukikutana na mdada siku ya kwanza few months you call for wedding what do you expect?
Tena kwa mjini hakufai kutangaziana ndoa kwa muda mfupi, kama hazijakuwa ndoa za mapiku na alubastini.
 
Back
Top Bottom