Nifanye Nini ili anipende?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nifanye Nini ili anipende??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Boflo, Jun 29, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nimempa pesa nyingi sana..

  Nimemlipia ada ya chuo..

  Nimeingia chumvini...

  Ufundi mwingi nimetumia...

  Zawadi nyingi sana nimemnunulia...

  Sehemu za starehe nyingi nimempeleka..

  Na mambo kadhaa wa kadhaa....

  Bado namuona hana upendo na anachokitaka kwangu ni pesa tu ...

  Wataalamu wa Jf nawauliza inawezekana kweli kumbadili aweze kunipenda??

  Detailz za mwanamke mwenyewe
  1-22 years old
  2-Amewahi kuumizwa sana kimapenzi(story amenipa mwenyewe)
  3-Ni Msukuma
  4-Mahusiano yetu=mwaka 1
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kazi ipo ushauri mpe mimba uone kama hata kupenda..
   
 3. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Usizidi kupoteza muda, nguvu na pesa zako. Tafuta atakayekupenda.
   
 4. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Uyo basi anataka roho yako, mwee! Mi namuunga mguu alosema mpe mimba, thats the solution, atanyooka tu
   
 5. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  mkimbize had lileleni
   
 6. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,651
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Tupa kule tafuta mwingine ana wake huyo iko siku atakukimbia tena wakati unamhitaji kweli....
   
 7. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  Mshauri abadili kabila.......
   
 8. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Just Muache, atakupenda tu later.
  Trust me mkuu
   
 9. mito

  mito JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,630
  Likes Received: 2,019
  Trophy Points: 280
  Boflo hapo jibu ni rahisi, hivyo ulivyovitaja na vingine ambavyo hukutaja ndo vinavyosababisha uendelee kuwa naye, na inaelekea ulivitanguliza hivyo kama gia yako ya kumpata, so ujue siku vikikatika ndo umuoni tena!

  Ushauri: endelea kumfanyia ili uendelee naye au tafuta anayekupenda kwa dhati uachane na huyo. Na ukiamua kutafuta mwingine, usitangulize tena hayo makitu kitu yako, vinginevyo utaishia kupata fake tena.
   
 10. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nimependa ushauri wako..
  Thanx
   
 11. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #11
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Ingawa hujasema uhusiano umekaa kwa muda gani, lakini kama unadhani hana mapenzi kwako nadhani ungeachana naye. Mbaya zaidi umesema anaonekana kupenda hela, hiyo ni mbaya zaidi. Mimi nisingejiuliza mara mbili hapo, kitambo ningepiga chini, tena huwezi jua pengine pesa anachota kwako then naye anaenda kuhonga huko. Achana naye.
   
 12. nameless girl

  nameless girl JF-Expert Member

  #12
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 3,905
  Likes Received: 715
  Trophy Points: 280
  kama hakupendi kubali hizo facts otherwise kubali kuachwa baadA kutimiza ndoto zake
   
 13. mbalu

  mbalu JF-Expert Member

  #13
  Jun 29, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ulitanguliza pesa subiri zikuishie ndo macho yatafunguka.
   
 14. nameless girl

  nameless girl JF-Expert Member

  #14
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 3,905
  Likes Received: 715
  Trophy Points: 280
  atatoa tu
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Pole Boflo, msukuma??? afu wewe wa Pwani???

  Mmmh, siwasemei wote ila wanawake wa kaisukuma wanapenda wanamme wenye nguvu
   
 16. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #16
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,851
  Trophy Points: 280
  Kongosho yaani umewaza sawa na mimi, Boflo...........mbona kama huna nguvu aisee???????? ile mambo inakufanya uwe kama finyofinyo vile.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #17
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 19,923
  Likes Received: 3,001
  Trophy Points: 280
  Ukipenda usipopendwa ni kazi bure kama vp mweleze ukwl unavyojisikia asipokukubal au kukupenda kama unavyotaka tafuta mwingine unapoteza muda wako
   
 18. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #18
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo unahisi Boflo hana nguvu?
   
 19. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #19
  Jun 29, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Tatizo la hawa viumbe wakionyeshwa upendo wa dhati, wanajisikia We kauka jifanye huna taimu nae utaona mwenyewe anajishtukia huyo, tena yeye ndio ataanza kukuonea wivu na malalamiko kibao kuwa "mbona siku hizi umebadilika".
   
 20. kijembeee

  kijembeee JF-Expert Member

  #20
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 411
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kaka unaweza ukawa unamhudumia yeye na kibwana chake,sio bure
   
Loading...