Moyo mpweke natafuta mume

Dine

Member
Apr 19, 2012
57
6
Mimi ni mama wa watoto wawili nina umri wa miaka 31 ni mwajiriwa serikalini napenda kuwa wazi ktk jamvi kwani nimekuwa mpweke kwa muda mrefu hivyo basi nahtaji mwanaume mwenye sifa hizi -Awe mkristo wa umri kati ya miaka 36-46 awe mwajiriwa aliyejiajiri asiwe mlevi aliye tayari anipm nimpatie contact zangu ANGALIZO Wale wanaopenda kutoa kashfa kwa yasiyowahusu plse wajiheshimu kwani sio lazima kuchangia jambo ambalo halijakugusu we soma and then unapotezea kwa aliyetayari anipm
 
Najisikia kuchangia kwa kukwambia POLE KWA UPWEKE,THOUG SINA CRITERIA ZA KUKUWOWA(KUKUOA),BUT NAMI NI MPWEKE MUMY
 
Dah pole sana,wapweke kumbe tuko wengi sema mi kijana sina umri unaoutaka,umri ulio nao unalingana na wa dada yangu wa kwanza
 
tatizo hapo kwenye umri. ungeshuka kidogo hadi kwenye 32 sasa hivi ningekupm but usijali wapo kibao utapata na utakosa pa kuwaweka. Mungu akujalie hitaji la moyo wako. Pamoja sana.
 
Dada yangu hao watoto uliokuwa nao mbona wanauwezo wa kukuchangamsha hapo nyumbani kabisa.Sasa huo upweke wako sijui wadizaini gani duh.Au unataka kuongeza mwingine hapo ningekuelewa.Ila kila la heri naunachokitafuta.
 
ngoja nianze kihv kwnz labda ntafankiwa...beibyyyy.....!!! mmmwaaaa! mmmwaaaa! mmmmwaaaaaa...!!! dada ondoa shaka frm nw mume umempata na ndo mm hpa cöz me mwnyw nlikuwa natafuta gal mwny cfa ka zko bt abt age me nna 24 so hpo vp beiiib? nafac yng itakuwepo kwl???!!!
 
Nadhani wakati umefika tuachane na matani pia dhihaka si njema. Dada yetu kajitowa moyo wake wote kuelezea kile atamanicho rohoni mwake na ni haki yake, hajakueleza wewe ila amewaeleza wale wenye sifa zitakazo mfaa yeye na ametoa angalizo usifanye hivyo kama huna sifa hizo. Sasa ya nini kuleta matani kwa pilipili usio ila na iko shambani inakuwashia nini? Maulidi sio yako kanzu waivalia ya nini? Ifike mahali tujirekebishe jamani! Dada hongera sana kwa kujiweka wazi namuomba Mungu wangu akujalie hitaji la moyo wako. Ili uwe makini sana usije ukapata hawa masharobaro wa kwenye net wakakufanya ukajinyonga bure. Be blessed
 
Dine Baby!
hata wenye ndoa ruksa kuomba nafasi ktk moyo wako? maana hujasema km hawaruhusiwi!!
 
Mimi ni mama wa watoto wawili nina umri wa miaka 31 ni mwajiriwa serikalini napenda kuwa wazi ktk jamvi kwani nimekuwa mpweke kwa muda mrefu hivyo basi nahtaji mwanaume mwenye sifa hizi -Awe mkristo wa umri kati ya miaka 36-46 awe mwajiriwa aliyejiajiri asiwe mlevi aliye tayari anipm nimpatie contact zangu ANGALIZO Wale wanaopenda kutoa kashfa kwa yasiyowahusu plse wajiheshimu kwani sio lazima kuchangia jambo ambalo halijakugusu we soma and then unapotezea kwa aliyetayari anipm
sasa dadangu umeshazaa mara mbili na bado unaweka masharti magumu hivyo?? hauoni kwamba you are being unfair??

Na kwa umri huo huoni kwamba choices zinakua limited?? na wazuri wengi wanakunywa pombe?

Angalizo: sijasema kuzaa ni kubaya....
 
Mdau naona unapost c0ment yako kibusara ili umnyake bimdada nin?
Nadhani wakati umefika tuachane na matani pia dhihaka si njema. Dada yetu kajitowa moyo wake wote kuelezea kile atamanicho rohoni mwake na ni haki yake, hajakueleza wewe ila amewaeleza wale wenye sifa zitakazo mfaa yeye na ametoa angalizo usifanye hivyo kama huna sifa hizo. Sasa ya nini kuleta matani kwa pilipili usio ila na iko shambani inakuwashia nini? Maulidi sio yako kanzu waivalia ya nini? Ifike mahali tujirekebishe jamani! Dada hongera sana kwa kujiweka wazi namuomba Mungu wangu akujalie hitaji la moyo wako. Ili uwe makini sana usije ukapata hawa masharobaro wa kwenye net wakakufanya ukajinyonga bure. Be blessed
 
sasa dadangu umeshazaa mara mbili na bado unaweka masharti magumu hivyo?? hauoni kwamba you are being unfair??

Na kwa umri huo huoni kwamba choices zinakua limited?? na wazuri wengi wanakunywa pombe?

Angalizo: sijasema kuzaa ni kubaya....

hope mashart yatapunguzwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom