Ungekubali uolewe na yupi kati ya hawa. . . . ??

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,702
Wa kwanza ni tajiri yuko bize sana nyumbani anapatikana mara 2 tu kwa mwezi na utapata mahitaji yako yote. . . . . . Wa pili,tajiri yuko bize kiasi na anapatikana nyumbani kwa wiki mara 3 lakini si mzuri sana kitandani. . . . . . . Wa tatu ni tajiri sana ana majivuno na kibri,shughuli zake nyingi zinafanywa na wafanyakazi wake hivyo anapatikana nyumbani,kitandani ni kawaida. . . . . . . .Wa nne ni tajiri kiasi nyumbani anapatikana vya kutosha,anakujali,lakini mlevi,huyu kitandani kawaida. . . . .Wa tano ana maisha ya kati,mkorofi ana kibri ila kitandani ni mzuri sana. . . . . . Wa sita ana maisha ya kati msikivu,anakujali,ni kicheche kiasi,kitandani kawaida. . . . . Wa saba maisha yake ni ya kawaida ni mkatili na hajali lakini kitandani ni mzima balaa. . . . . . .Wa nane maisha yake ni ya kawaida anajali,msikivu na mtaratibu,kitandani mchovu. . . . . . . Wa tisa maisha yake ya chini anakujali pia ana majigambo kitandani kawaida. . . . . . . Wa kumi maisha yake ya kawaida msikivu,anajali,ni kicheche kiasi ni mzuri sana kitandani. . . . . . .Wa 11 ni tajiri kiasi mkorofi,mlevi kitandani mzuri sana. . . . .Wa 12 ana maisha ya chini sana msikivu,mkorofi,kitandani mzuri sana. . . . . . . .
 
kumbe ndo maana sina mwanaume..watu wamejilimbikizia wenyewe..
kumbe ufisadi hadi kwenye mapenzi upo..
gap baina ya wenye nacho na wasio nacho kumbe ni kila mahali sikujua!...
wenzangu mnahesabu 11 mimi smile nipo 0...daaaah!
 
Naona kama nakujua vileee. Hivi wewe si mtangazaji wa Clouds radio? Naona maoni yako hayapishani sana na watangazaji wa Clouds.
 
kumbe ndo maana sina mwanaume..watu wamejilimbikizia wenyewe..
kumbe ufisadi hadi kwenye mapenzi upo..
gap baina ya wenye nacho na wasio nacho kumbe ni kila mahali sikujua!...
wenzangu mnahesabu 11 mimi smile nipo 0...daaaah!

Asiekujua atapata tabu sana. . . . !
 
Eiyer tupo sana, ila wanaume wanasema sisi wanawake wenye hofu na mungu ni washamba, hatujui mapenzi. Ukituhitaji tupo sana.

Nakuhakikishia hampo,najua nazungumza nini,kama unabisha hebu nitafutie mmoja!
 
Mmmmmhhh! Mpaka umpate mwanamke mwenye hofu ya mungu maisha haya, unahitaji kuwa na macho ya rohoni
 
kumbe ndo maana sina mwanaume..watu wamejilimbikizia wenyewe..
kumbe ufisadi hadi kwenye mapenzi upo..
gap baina ya wenye nacho na wasio nacho kumbe ni kila mahali sikujua!...
wenzangu mnahesabu 11 mimi smile nipo 0...daaaah!

komaaa tu one day yes..
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom