Alinikataa enzi zile, nikaoa mwingine leo kaja tena yuleyul, anataka ku make love na mimi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alinikataa enzi zile, nikaoa mwingine leo kaja tena yuleyul, anataka ku make love na mimi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mansakankanmusa, Jun 28, 2012.

 1. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,093
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  Habari zenu wapenzi wa kona hii,

  Nimekumbwa na na mkasa huu miaka sita sasa, nilimpenda dada huyu sana wakati nasoma pale udsm, yeye alikuwa famasist ubungo, nilikuwa nilitoka hosteli naishia kwenye famasi yao, nikaimbisha sana, akakataa kabisa, nililia sana, wakati mwingine nikiwa namsindikiza, nalia njiani, lakini waapi, nilijitahidi sana kumbembeleza na kama ilivyo tabia za wanawake wengi alikuwa anakajihuruma kwa mbali.

  Nilikuwa nakosa lecture chuo, nikiwa nambembeleza yule dada, niliona kazi inanishinda, nikaamua kumfanyia utafiti, kutafuta tatizo, alikuwa pana njia alikuwa hapendi nikikatiza nae, mara tano hadi sita hivi aligoma kabisa kupita ile njia, nikamfwata bila kujua kila siku nikijua muda wa kutoka umekaribia naaga then siendi mbali, nakaa sehem then nafwata nyumanyuma! nikashindwa kuona kitu chochote, siku moja nilifanikiwa kumuona mtu mmoja ambae nilihisi kitu, sikuwana papara kumhoji juu ya jamaa, siku ya siku nilimwuliza jamaa yule anaitwa, kwa kuwa nilikuja kumuona tena maeneo ya sheli buguruni akienda pale kila siku jioni, pale jamaa alikuwa akifwata makusanyo ya kutwa za daladala zao...nikagundua mshikaji ni watu wenye uwezo, na anaua kuendesha nikaona nijifunze kuendesha, nikafanya hivyo.

  baadaye nikawa mjuzi nikawa naomba gari naenda nalo hadi kwa binti. nilizaliwa mwaka 79, yule dada ni wa mwaka 75, ni mkubwa kwangu, nikajipaisha hadi 74, nimzidi japo mwaka mmoja.

  baadae niligundua mbinu zangu hazisaidii, niliona zile za kuwa mnyonge ndizo safi, nikaendelea safari hii, nilitafuta namna ya kukutana nae karibu na kwao tena usiku, nikawa namuacha anaondoka kwao mimi naenda najipitisha kwao mara moja hadi mbili, akiniona basi macho yake muda wote huangalia eneo nililopotelea kumbe nimejificha kumcheki, baada ya kuona anahangaika, safari hii nilitafuta sehem nzur ambayo hata yeye pangemfaa kukaa usiku tukiongea.

  nikafanya mpango kutembelea kwao muda wa mchana wao wakiwa kazini, nikapita maduka ya karibu na kwao kufanya ukachero, nikiwauliza kwa siri sana wauza duka mmoja mmoja, kama wanamjua yule dada na labda anatoka na jamaa gani, nilikosa majibu mazuri, wengi waliniambia pana jamaa mmoja alimaliza SUA na hawapo pamoja kwa sana.

  Ni mwaka kama wa pili sasa tangu nianze mapenzi ya tamthilia na huyu dada, nilikuwa nimechoka kwa kweli, huku nikiwa nakwenda chuo kufanya SUP zangu na special exams, usiku mmoja saa sita nilimdanganya kuwa nipo nje kwao, akatoka nikamwambia nimeshaondoka maana mateso yake nimechoka, siku iliyofuata ndiyo niliyotinga pale mahala saa mbili usiku, akaja tukaongea sana, kwa mara ya kwanza nikafanikiwa kumshika kumkumbatia, nikalia sana nikiwa nimemkumbalia kichwa/uso wangu ukiwa begani mwake machozi yakawa yamelowanisha bega, leo alishikwa na mshangao na akawa amenionea huruma ya ajabu, nikashusha mkono mpaka ndani ya ch5%^%pi mh nilishikaa nikaacha

  siku iliyofata alipagawa sana, safari hii ilikuwa kichochoro cha kwao, niligundua kumbe akiwa kwao anauhuru wa kuvua, kichochoroni nilimuinamisha, ikakataa nikamuweka staili ya kumuomba mungu. omg alipata mimba sku hiyo, wiki mbili baadae akaniambia anamimba na ameitoa.

  sikumbuki kwa sababu nilimpa mimba nyingine akaitoa, zote bila kuniuliza chochote, nilifanikiwa kupata sponsa nikasoma ulaya miaka kama minne, wakati nikiwa bado sijaondoka nchini niliamua kuoa mtu mwingine, huyu mwanamke sijgundua alikuwa anataka aolewe na nani, kuabot kulikatisha tamaa kabisa.

  wakati nikiwa ulaya alianza kunipigia, sana nikamtumia mtaji, aliniomba kwa makubaliano kuwa biashara ni ya pamoja, nakuja hajafanya kitu..nikanyamaza kimyaaa.

  nilirejea rasmi nikaanza kazi na nikawa na maisha yangu, na yeye akawa hana mtu yyt anaemtaka na amezeeka, sasa alifata siku moja nikamwambia no ningemtembela, nilikwenda kwake kwa kweli alinipa kitumbua nikala. sasa kumbe alitegesha nimpe mi mimba, nilivaa soksi hakutaka, sasa baadae akanipa mkanda wote, kuwa hapati mimba, na amepewa dawa anywe, kwa mf. j3,j4 then jumatano nikale sambusa.

  nawaza ingawa jibu ninalo, sitaki mtoto wa nje na kumkaza nataka, kuvua soksi sitaki

  nimekaa chonjo jamani,
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  kama nati zimelegea, zikaze tu.
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,317
  Likes Received: 5,609
  Trophy Points: 280
  Achana na malaya linda ndoa yako unalotafuta utalipata muda si mrefu na ni gonjwa tu hakuna lingine!pamoja na usomi wako na exposure uliopata bado unapagawa na vicheche hivyo?achana nae iwe for good!!!!!!imetosha sana kwa sasa !potezea
   
 4. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,320
  Trophy Points: 280
  Siamini kama kweli wewe umeelimika......Kula kavu unaogopa kwa sababu ya mimba, ukimwi je? Halafu usitake kujionyesha wewe ni innocent. Ulimshawishi akakukubali na nina wasiwasi ulikuwa unamshawishi kutoa mimba.......kama si hivyo nyakati hizo alikuona huna kazi na yeye hana kazi ya uhakika atakusumbua.

  Kama huna future naye muache
   
 5. cement

  cement JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mkaze.............?
   
 6. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Best wishes!!
   
 7. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kaka matangazo yotee haya kwenye vyombo vya habar kuhusu mitandao ya ngono haijakugusa kabisa mkuu, e bwana umeamua kuoa tulia bac na mkeo, unalitafuta gonjwa hapo, ohoooo tafakari, UKIMWI upo.
   
 8. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Riwaya nyingine bana...!!!
   
 9. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Zinafaa kwa Shigongo kwa ajili ya kuharibu watoto.
  WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
   
 10. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Hadithi imekaa kama ya magita wakiwa skani wanapeana faraja ya kumuona obama 1day.lakini Hongera c aba nawewe umeweka uzi jukwaa la MMU
   
 11. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #11
  Jun 29, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,183
  Likes Received: 1,184
  Trophy Points: 280
  Umeoa utulie bwana kha!
   
 12. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #12
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,901
  Trophy Points: 280
  mmmmh...........! hili nalo lahitaj kushauriwa kweli?
   
 13. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #13
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Jamani wakina dada/mama mliopo kwenye ndoa hawa ndo waume zenu hawatofautiani sana!
   
 14. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #14
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,187
  Likes Received: 1,909
  Trophy Points: 280
  Vipi wewe hutakuja kuolewa? Au huna mpango kama huyo Dada zamani halafu sasa hv anazitafuta
   
 15. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #15
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ingekua vyema kama ungemuomba mkeo ushauri
   
 16. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #16
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Eti!
  Nashangaa hata mie.
   
 17. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #17
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,901
  Trophy Points: 280
  mzima lakini Bishanga?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. c

  chi-boy Member

  #18
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kufa kupo, kulaaaa...
   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  si una mke wewe?
   
 20. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #20
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 19,923
  Likes Received: 3,003
  Trophy Points: 280
  Punguza tamaa atakuharibia maisha yako
   
Loading...