Junior kapata mdogo wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Junior kapata mdogo wake

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Da Sophy, Jun 16, 2012.

 1. D

  Da Sophy JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 358
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Naombeni hongera zangu loh! Mtoto ana miezi 3 sasa.
   
 2. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #2
  Jun 16, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Hebu ipe stori maneno shostitoo.... Unajua ni siku nyingi hujatujuza yaliyotokea na yaliyoendelea tangu kipindi kile mimba ilipokuwa inamtaka baba mtoto...
  Hongera zako mwaya...
   
 3. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,319
  Trophy Points: 280
  kuna story iliyokuwa inahusiana na huyu mtoto? hebu nipe link...........Hongera Da Sophy
   
 4. labtec1

  labtec1 Member

  #4
  Jun 16, 2012
  Joined: May 17, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hongera sana
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Da Sophy tulikumiss sana hongera babake hajambo?
   
 6. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2012
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  hongera ka kike/kiume; tukatafutie zawadi
   
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  Jun 16, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Hongera kwa raha na utamu uliopelekea kupatikana kwa kiumbe
   
 8. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #8
  Jun 16, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Hpngera Da Sophy
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Jun 16, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  hongera sana!
   
 10. D

  Da Sophy JF-Expert Member

  #10
  Jun 16, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 358
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Asante. Umenikumbusha ile ilikuwa ya junior sasa ana mdogo wake kazaliwa mwezi wa 3 tarehe 7.
   
 11. D

  Da Sophy JF-Expert Member

  #11
  Jun 16, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 358
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Asante nashukuru. Babake hajambo mwaya kafurahije tunakunywa naye supu katoka shavu ka vile na yeye ananyonyesha!*
   
 12. D

  Da Sophy JF-Expert Member

  #12
  Jun 16, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 358
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Nilitamani wa kike junior apate dadake lakini kwa kudra za Maulana nimempata wa kiume, babake kafurahi nami nimefurahi sana pia. Wajua raha ya mtoto wazazi wote mkimfurahia ndio inazidi.
   
 13. D

  Da Sophy JF-Expert Member

  #13
  Jun 16, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 358
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Msinishangae mwenzenu na bandika bandua madokta wameniambia nifanye za fastafasta nisije nikakosa. Sikuwaambia kabla ya junior nilishafanyiwaga operesheni nikatolewa uvimbe. Wakaniambia nikilaza damu inakula kwangu jumla. Sasa hivi mashallah nashukuru Alhamdulillahi.
   
 14. k

  kisukari JF-Expert Member

  #14
  Jun 16, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,761
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  da sophy hongera sana,umeadimika kweli.siku hizi wana jf wametulia.majungu hakuna tena
   
 15. mgeni10

  mgeni10 JF-Expert Member

  #15
  Jun 16, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,112
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mungu aliyekupa huyo mtoto Tunamwomba amlinde na kumkuza ktk kweli yake na ulinzi wake Amuinue na kumpatia kila hitaji lakeHONGERA SANA KUTULETEA MJUKUU
   
 16. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #16
  Jun 16, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,726
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  hiyo ndio poa,bandika bandua,baadaye unatulia unatafuta ada ya shule huwazi tena mambo ya clinic,nakuunga mkono niko nyuma yako.hongera sana
   
 17. D

  Da Sophy JF-Expert Member

  #17
  Jun 30, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 358
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Asante mwaya niko busy na malezi mwnzenu
   
Loading...