Mume Dhaifu au Mume Dikteta?

Companero

Platinum Member
Jul 12, 2008
5,604
1,704
Je, mwanamke anahitaji mume dhaifu au mume dikteta? Chagua jibu moja tu! Eleza.
 
haitaji hata mmoja kati ya hao....anahitaji mwanaume mwenye hulka na staha ya kiume.....
 
haitaji hata mmoja kati ya hao....anahitaji mwanaume mwenye hulka na staha ya kiume.....

Fuata maelekezo, inaonekana wewe unahitaji mume dikteta maana ukiwa na mume dhaifu utakuwa hufuati maelekezo yake
 
Mume dhaifu hata Siku atakuja mtu kukugongea mkeo hapo kwako we ubaki unacheka tu.

Mume dikteta ni option ya pili baada ya mume anaejali utu na kusikiliza nini mwenzie anataka (m-demokrasia).

Faida za mume dikteta ni kua panapokua na kosa, majadiliano yenye kuchelewesha hukumu hayana nafasi, bali ni adhabu hapohapo.
 
unataka kufahamu nini? funguka tukusaidie km unataka kufahamu mb ya msingi na sio kuuliza mambo nusu nusu.
 
Mume dhaifu hata Siku atakuja mtu kukugongea mkeo hapo kwako we ubaki unacheka tu.

Mume dikteta ni option ya pili baada ya mume anaejali utu na kusikiliza nini mwenzie anataka (m-demokrasia).

Faida za mume dikteta ni kua panapokua na kosa, majadiliano yenye kuchelewesha hukumu hayana nafasi, bali ni adhabu hapohapo.

Kwanin usichague Mume dhaifu ambae utamtawala utakavyo??
Tena hata akitoka nje ya ndoa ukim'bananisha tu atakuambia yote.
Mume dikteta utakua huna kauli kwenye ndoa dada yangu
 
Mume dikteta kwa sababu atafanya maamuzi magumu kuliko dhaifu hawez kufanya chochote
 
Mume dikteta na mwenye upendo kwa familia inayomzunguka ndo mzuri, ushauri kwa madada zangu kwani familia itaongozwa vivuri hamna watoto kudeka deka. Na hata hivyo kwenye kutoa maamuzi siku zote hacheleweshi ni papo kwa papo bila ya kusita.Ila na wewe kichwani uwe na elimu usiwe tegemezi..

Mume dhaifu ni hafai siku zote mwanaume ndo kichwa cha familia, kwa hiyo anatakiwa awe na udikteta damuni ili aweze toa maamuzi yaliyo timulifu..Ila kwa kuwa binadamu hatujakamilika sio kila kitu tunachokiamini na kukifanya kipo sa hihi ni vema kwa mwanume huyo ambaye ana udikteta damuni saa nyingine ajishushe kwa mkewe..;(
 
kwa kweli kwangu heri dikteta maana at least he is a man and he can stand by his word, mwanaume sharti ajiamini hata kama anaongea *****, mi napenda mwanaume ambaye hapana ni hapana na ndio ni ndio hata kama dunia inakataa..kwani wewe unafikiri kwa nini mke wa rais wa syria hajamkimbia mumewe coz he is ready to die for what he believes in.
 
Dicteta in which ways?cyo dicteta hata ambapo hakuna jambo la kuleta maana.Upendo na nidhamu ni muhimu hata kama dicteta,na make sure maamuzi unayoweka yawe ya maana,cyo udicteta wa bure tu.Personally,udicteta siupendi cnaaana.a little bit be hapy,cyo always makauli makali makali tu,umekunja ndita,since morning.Mpaka watoto waogope?.Nadhan mmeshasikia familia ambazo baba akirudi nyumbani,watoto wote wanakimbia vyumbani,mama jikoni.Udicteta is useless.Kuwa wakawaida,not a dicteta or mdhaifu.
 
bora dikteta kuliko dhaifu.

Raha ya dikteta mlize kitandani, period!

Kweli kabisa, utasikia sauti laini ya upole "dear sometimes huwa ninatania tu usichukulie serious kila ninachosema. Umeelewa mpenzi? (huku ana kiss shingo yako). I love you, dear.
Hapo umemaliza kazi!
 
Back
Top Bottom