natafuta mpenzi wa kike ni chati nae kwenye facebook tu

natafuta msichana ambaye atakua anatumia facebook ili nipate kuchati nae, awe na sifa yoyote ile mi nipo tayari kuwa nae my facebook profile is Abou Merlin | Facebook


Inavyoonekana hata hiyo facebook haujui..ni kwamba unaifahamu tu..

Yaani umekosa wa kuchati naye huko fb kweli..ndio maana hautaki muungano

Haujui kitu kabisaa.

Anyway..hizi hadithi peleka huko huko.
 
Kama imekuuma iyo post si usingechangia, au kama umeipenda mpe dada yako my facebook id, than atakwambia ninavyochati naye,
umefahamu muheshimiwa??????????????
Alaaaaaaaaaaaa nimepata picha ndo nyie watanganyika tusiwowahitaji zanzibar mnajifanya mnaupenda muungano,,, tuachiwe tupumuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuweeeeeeeeeeeeeeeee
 
Sasa so ungeenda kutangaza kwa wall yalo fb? Mi nakuwinda kule yakhee, nataka uraia wa z'bar na tanganyika mie!
 
sasa itakuwaje tutakapoanza kuchat.....tukanogewa then muungano ukavunjika.....si nitakumiss sana.....?
 
Haha muungano sio wa kupotezea time kuuzungumzia hata mkiachwa umasikini ni palepale ni bora vijana mkajikita kwenye mambo ya kujiongezea kipato.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom