Nifanyaje, niachane na huyu binti? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nifanyaje, niachane na huyu binti?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by HorsePower, Jul 18, 2012.

 1. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  *** Wakuu, nimepokea email to kwa Bwn Joachim wa Magu, Mwanza anaomba ushauri kwa kisa hiki ***

  Miaka michache nyumba nilipata msichana ambaye tulipenda sana na kukubaliana kuoana. Kabla ya uyaweka mambo hadharani, binti huyu alipata nafasi ya masomo kabla ya ndoa na kwenda nchi za watu na kwa bahati mbaya masailiano baana yetu yalikatika. Nilikuja kupata taarifa kuwa alirudi na nilifanya juhudi za kumtafuta bila mafanikio.
  Mwaka jana nilipata msichana mwingine na tukakubaliana kufunga ndoa.Siku mmoja, mtarajiwa wangu mpya alikuja na album na kuanza kunionyesha picha za familia yake yote kama maandalizi ya awali ya ndoa. Nishtuka kukuta picha ya yule mchumba wangu wa zamani, na nilipojaribu kumuuliza huyu ni nani aliniambia kuwa ni mdogo wao wa mwisho wa mama yake mzazi!

  Siku moja nikiwa nimetoka kazini, nilimkuta huyo mamaye mdogo nyumbani kwangu (ambaye alikuwa mpenzi wangu zamani) kaja kusalimia. Alijifanya hanifahamu nami pia nikampotezea ila baada ya kutoka hapo kwangu ameanza kunifuatilia kwa simu nivunje uhusiano na huyu mchumba wangu maana bado yeye ananipenda na kuendelea na huyu mwanae nitakuwa sijatenda haki kwa kutembea na mtu na mamaye mdogo, loh!

  Wakuu naomba ushauri, nifanyaje, niachane na huyu binti? Maana huyu wa zamani sina upendo wa kumrudia na huyu wa sasa kuendelea naye nitakuwa nimetembea na mtu na mamae mdogo, jamii itanionaje?


  HP
   
 2. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Kwani mpaka hapo mlipofikia huyo mpenzi wako wa sasa si umeshado nae?kumuacha wala haimake sense cause kama ni kuwado wote umeshawado!!
   
 3. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Awachane na wote mana asiwe yeye sababu ya kusabaratisha family hio.

  Mwanaume siku zote lazima awe anatazama mbali sana haswa katika mambo ya kuweka mke ndani.

  Ndo mana vitabu vya dini viliktaza kufanya sex kabla ya ndoa, Mungu asifiwe.
   
 4. Root

  Root JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,311
  Likes Received: 13,019
  Trophy Points: 280
  Nionavyo ni bora uwaache wote kwani kuwa na mmoja wao lazima mmoja atamind tena sana tu
   
 5. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  nani mjanja zaidi kati yao 'kimchezo'?... i mean ushawamega wote, so you should know better at least where to start
   
 6. H

  HAPPY MAKUKU Senior Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nakushauri endelea na huyu wa sasa kwa sababu ulikutana nae ukiwa hujui kama wanamahusiano na yule wa zamani na hivyo imetokea accidentally, kwa hiyo jamii itakuchukulia poa tu, kwani mawasiliano kukosekana na wazamani ndo problem. lkn kwa sababu ishakuwa, na unampenda wa sasa. kula uroda tu mwanangu. huyo wa zamani mpotexee kiaina.
   
 7. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  "Aachane na wote" hili nalo neno!
   
 8. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145

  Ni kweli aliwado, lakini hakuwa anafahamu kuwa ni ndg na sasa baada ya kufahamu ndiyo anaomba ushauri wa nini cha kufanya.
   
 9. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #9
  Jul 18, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kama hawezi kuachana nao mshauri wewe unshauri wako.
   
 10. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #10
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Mi nilichemka ndo maana nikalileta kwenu wadau, ila naokubaliana na wewe kuwa kuwaacha wote yawezekana ikawa ni wazo jema! :wacko:
   
 11. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #11
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  soo easy my brada inatakiwa amuambie huyo bidada sijui ndo mazaake mdogo kuwa yeye anamuoa mtoto wake na sio yeye kuwa mkataba ulishakuwa terminated kama ataona hatari awapige chini wote halafu atafute mchongo mwengine kurahisisha matamanio kwa siku zijazo..
   
 12. N

  Neylu JF-Expert Member

  #12
  Jul 18, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Aaah huyo labda hana msimamo.. Angekuwa ametembea nao wakati anajua hapo ndio ingekuwa ishuu.. Aendelee na huyo mpenzi aliyenaye na cha msingi amweleze ukweli mapema ili huyo mama mdogo asije akaleta ngendembwe baadaye..!
   
 13. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #13
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Hofu ni kuwa asije mamdogo wake akaanza kugombana na mwanae kumgombania jamaa, itakuwa mbaya zaidi!
   
 14. N

  Neylu JF-Expert Member

  #14
  Jul 18, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Awaweke wazi wote mapeeema akiona hawasomeki apige chini.. Ila ni vema akamueleza ukweli huyo mpenzi wake aliyenaye.. Akichukulia poa na akiwa tayari kuendelea waendelee tuu! Panapo penzi la kweli vizabizabina hawana NAFASI...
   
 15. M

  Mlanziwa Member

  #15
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole xana kaka chamsingu 2liza akili kwanza halafu ufanye maamuzi sahihi
   
 16. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #16
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  hilo soo kaka..muhimu hapo piga moyo konde, PIGA CHINI WOTE maana ukioa mmoja wapo hapo familia nzima itakuletea zengwe...be a man, make a wise decision...piga chini fasta...
   
 17. felinda

  felinda JF-Expert Member

  #17
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 351
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  waache wote coz hautokuwa na amani katika ndoa yako cku zote.
   
 18. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #18
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  na kama usingeona hiyo albam ungefanyaje?chapa na ukitaka kuoa oa kabisa huyo anakwambia anakupenda mbona aliporudi hakukutafuta kama anakupenda.au umeshawachafua unatafuta kisingizio cha kuwakacha.chapa mzigo bhana we vipi halah
   
 19. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #19
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  haswaa, kama bado hamjaibanjua ile amri na huyo mwanae sawa ila kama tayar wala hutabadili chochote kwa kumuacha huyo mchumba ako, zaid fuata moyo wako, ushasema humpend tena huyo x na unampenda huyo mwanae kwa hyo sion tatzo hapo kwa upande wangu
   
 20. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #20
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Endelea na mipango ya Harusi yenu, achana kabisa na huyo mama yake mdogo, yeye alikuwa wa zamani.
   
Loading...