Kuoa Mwanasheria!!

BIG X

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
777
212
Nipo mahali hapa na majamaa ambao wote wake zao ni wanasheria. Tulianza kuongelea ishu za Ndoa. Kifupi hawa jamaa wote wawili wanajuta kuoa wanasheria, mmoja ndio alimsomesha mwenyewe mkewe sheria ndio anajuta kwanini alimsomesha sheria. Majamaa wanasema nyumbani kila siku ni pamoto. Ishu ndogo tu basi watapewa vifungu vya sheria. Yani kwa mtazamo wao wake zao kwa kujiona wanajua sana sheria basi heshima haipo kwa waume zao.

Wale mliooa wanasheria, ni kweli mnakumbana na haya!!.

Update
!!

Majamaa wanasema wanawake watiifu ni walimu na manesi!.
 
tehe tehe makubwa haya hawatoi chakula kizuri cha usiku thats why hebu waambie wawangonoe vizuri wataona heshima imerudi au hujaona hiyo mada yakuwangonoa wake zenu hahahaha
 
Kwa hiyo walio oa wahasibu ni kuwa na wao hela inaesabiwa sana au matumizi kwa vocha?haaaaa nzuri eee
 
Hata wanaume wanasheria ni tatizo si wanawake tu. Nina kaka yangu mwanasheria nakumbuka wakati bado wote tunaishi kwa wazazi ilifika kipindi kila mtu alianza kumchunia.. yani ukipiga stori kidogo .. mfano nimesikia hivi na hivi anaanza kukwambia umpe evidence... Kha... evidence na mimi nimekwambia nimesikia. Wanaboa aisee... Wamezoea ubishi tokana na nature ya kazi yao... Yani wanajifanya kila kitu wanajua wao.

Ilifika kipindi kabla ujampa stori yotote mpaka ukalukuleti kama una material facts za kutosha. Lol. Wakati ni stori tu za kahawa.
 
Ahahahahhah!

Hao jamaa wanashindwa kitu kidogo sana! The same sheria inatumika kuwaokoa kwenye mikwamo yao! Hahaha How can a woman be bigger than ndoa eti anazijua sheria ! Upuuzi tu huo! Mke wangu hata akiwa rais bado kipigo pale pale na mguso wa ukweli unabaki pale pale otherwise ndoa ahaipo!
 
Kwa hiyo mi niliye na Demu air hostess nione ama ??

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hii tena kali maana kuna hatari ya kukusomea kifungu cha sheria kabla ya faragha
 
Nipo mahali hapa na majamaa ambao wote wake zao ni wanasheria. Tulianza kuongelea ishu za Ndoa. Kifupi hawa jamaa wote wawili wanajuta kuoa wanasheria, mmoja ndio alimsomesha mwenyewe mkewe sheria ndio anajuta kwanini alimsomesha sheria. Majamaa wanasema nyumbani kila siku ni pamoto. Ishu ndogo tu basi watapewa vifungu vya sheria. Yani kwa mtazamo wao wake zao kwa kujiona wanajua sana sheria basi heshima haipo kwa waume zao.
Wape pole hao rafiki zako, kutokujiamini kwa mwanamke ndio kunawasababishia kuleta mambo ya kazini nyumbani.
Ukichanganya mambo ya kazini nyumbani, jua nyumbani mamboa hayataenda vizuri, pia ukichanganya mambo ya nyumbani kazini jua mambo kazini hayaenda vizuri pia.
Hii huwa inatokea kwa wote, wanaume na wanawake kwenye ndoa zao.

Wale mliooa wanasheria, ni kweli mnakumbana na haya!!.[/QUOTE]
 
Nipo mahali hapa na majamaa ambao wote wake zao ni wanasheria. Tulianza kuongelea ishu za Ndoa. Kifupi hawa jamaa wote wawili wanajuta kuoa wanasheria, mmoja ndio alimsomesha mwenyewe mkewe sheria ndio anajuta kwanini alimsomesha sheria. Majamaa wanasema nyumbani kila siku ni pamoto. Ishu ndogo tu basi watapewa vifungu vya sheria. Yani kwa mtazamo wao wake zao kwa kujiona wanajua sana sheria basi heshima haipo kwa waume zao.

Wale mliooa wanasheria, ni kweli mnakumbana na haya!!.

Update
!!

Majamaa wanasema wanawake watiifu ni walimu na manesi!.

Mapenzi ya kweli hayaangalii sana taaluma ya mtu, ukiona hivyo ujue hao wadada ni malimbukeni tu. Tangu lini mambo ya nyumbani ya mahusiano yakatawaliwa na vifungu vya sheria??? Ubatili mtupu!!! :nerd:
 
Nipo mahali hapa na majamaa ambao wote wake zao ni wanasheria. Tulianza kuongelea ishu za Ndoa. Kifupi hawa jamaa wote wawili wanajuta kuoa wanasheria, mmoja ndio alimsomesha mwenyewe mkewe sheria ndio anajuta kwanini alimsomesha sheria. Majamaa wanasema nyumbani kila siku ni pamoto. Ishu ndogo tu basi watapewa vifungu vya sheria. Yani kwa mtazamo wao wake zao kwa kujiona wanajua sana sheria basi heshima haipo kwa waume zao.

Wale mliooa wanasheria, ni kweli mnakumbana na haya!!.

Update
!!

Majamaa wanasema wanawake watiifu ni walimu na manesi!.

Mmmh mkuu hapo kwa red nina experience mbaya ya mke wa rafiki yangu. Loh, anamuendeshaje!!!

Lakini pia nina ushahidi wa marafiki zangu watatu wameoa wake ambao ni mahakimu, lakini wanaishi vizuri tu. Kwahiyo mkuu inategemea na mwanamke mwenyewe tu.
 
Back
Top Bottom