Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi najiuliza hasa, hiki kizazi cha sasa vipi ? Kwa maana wanauchukulia uchumba kama ni kitu gani ? Wewe umeshavishwa pete mara kibao, ndoa hatuioni.Lakini haukomi , bado tu unaendelea na mipete...
2 Reactions
81 Replies
8K Views
Waacheni watoto waje kwangu wala msiwazuie kwani ufalme wa MUNGU ni wao. awe mke au dada au msichana wa kazi, anyone ambaye anaishi na wewe wakati wa kulea malaika hawa unampa nafasi gani na wewe...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi inakuaje kijana wa kiume ulikuwa na mahusiano na msichana fulani baadae unamucha tena kwa kejeli nyingi,baada ya kuona dada wa watu kapata jamaa mwingine anayemjali na kumpenda unaanza...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
mambo mmu, jaman kuna ka mkasa kametokea kwa jiran yangu kamenipa maswali kidogo Jana jirani yangu ni Mnijeria, ameniita akaanza kulalamika kwamba binti wa kazi kampa mwanae nyonyo...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Ohoooooooooo, i am in trouble..plzz heeellllppp!! Tumekuchagulia mabinti wawili..uje uangalie yupi anakufaa uoe..mabinti wa huko mjini wahuni na matapeli tu...Ohoo..nifanyaje wadau??
1 Reactions
101 Replies
6K Views
Hujafa hujaumbika
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rafiki yangu mmoja jana tukiwa mahali alinipa kisa kinachohitaji mchango wa mawazo yako. Kuna mrembo mmoja ambaye jamaa alijuana naye kupitia kaka yake(ie kaka wa huyu mrembo na huyu rafiki yangu...
2 Reactions
73 Replies
6K Views
Miaka yangu ni kati ya 20-27 natafuta rafiki msichanana kati ya miaka 18-20 awe anasoma.tuwasiliane 0717403425
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sijui hata nianzie wapi..... Ni takribani mwaka wa pili sasa nipo nae, na ni mwezi wa pili mwaka huu nilimtambulisha kwa wazazi wangu na ndugu kadhaa kuwa huyu ni "mchumba wangu mpendwa...
6 Reactions
297 Replies
36K Views
Nimekutana na hii Clip nimecheka sana!
8 Reactions
50 Replies
5K Views
Eti wadau tujuzane, hivi mambo kama haya bado yapo? Nimempata mdada mmoja lakini anadai simvui hadi nimwoe, siku ya harusi ndo ataanza kutoa. Kakiri kuwa yeye sio bikra lakini anadai hataki...
0 Reactions
138 Replies
15K Views
NAITWA FRANK (sio jina halisi) nimetokea kumpenda binti Jane(sio jina halisi) tulisha do mara moja tu tukapanga kuchumbiana na tukakubaliana sasa jambo moja limejitokeza nilikuwa simjui ni mtoto...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Haya jamani nawatakieni usiku mwema walle tunaoshare mstari wa saa sijui unaitwaje siku zimepita geograph ya latano nimesahau.Muote ndoto zenye baraka.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Watu wakiwa na pesa basi wanajiona wanaweza kuwa na mwanamke yeyote wamtakaye. Huyu mdada alikuwa actress Nigeria... Leo nikasema ngoja ni google amepotelea wapi simuoni kwenye gemu. Kumbe kuna...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
habari za hapa JF mimi ni mgeni hapa ila nigependa nikaribiswe na mtu abae na namtafuta kwa mda sasa sifanyi uta nimezaliwa tarehe 21_12_1977 ninaemtaka awe hivi awe kuazia miaka 20-30 kama...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
which car do you prefer between spacio new model and opa and why? tusaidiane jamani
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari zenu, naombeni ushauri hasa kutoka kwa wanaume waliooa au walio kwenye mahusiano ya muda mrefu, pia wadada. NB: NIKO SERIOUS TAFADHALI. Ni hivi, nataka nimfanyie surprise mumewangu siku ya...
4 Reactions
92 Replies
10K Views
Natafuta mchumba namba zangu za sim ni 0765672824
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Poleni na majukumu yanayowakabili, Mm ni msichana mwenye umri wa miaka 26,kwa mara ya kwanza najiunga na jf nikiomba ushauri wenu Nina mpenzi wangu nampenda sana na hatuna mda mrefu, tuna...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Sipendi mpenzi wangu aniambie story za mpenzi wake wa zamani. Sipendi mpenzi wangu anidanganye .. hata kwa kitu kidogo.
2 Reactions
127 Replies
12K Views
Back
Top Bottom