Nisaidieni jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidieni jamani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Roxea, Jul 16, 2012.

 1. Roxea

  Roxea Senior Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 182
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  I've been told by many of my friends and the most trusted people that "THERE MUST BE FIRST REJECTION WHERE THERE IS TRUE LOVE" about a week ago i met a girl at seminar somewhere,infact i was attracted at max than ever and i just findng myself NAFUNGUKA just on the second day after meeting her,wonderful enough my proposal was accepted at easy an she seem 2care much abt me though cjamjua vizuri wala kumzoea xana ila nimempenda xana siwezi ficha na kubwa zaidi linalonipa utata SHE IS SO EASY WITH ME TO EVERYTHING,ur opinion has great impact 2my welbeing please
   
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  usione soo sema nae kuhusu feelings zako...enjoy sonny
   
 3. Roxea

  Roxea Senior Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 182
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  just imagine mzabzab kusema na yeye on how an why she accepted easily lyk dat hawezi niona bullshit?
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Ataku-bullshit haswaa! Unatamani kusumbuliwa eeh?
   
 5. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  ebo!! sasa wewe ulitaka umtolee jasho ndio ufurahi!!? wewe she has accepted kubaliana na hilo mind u females are also humans so nae labda alikufia the day she lay eyes on u.
   
 6. Roxea

  Roxea Senior Member

  #6
  Jul 16, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 182
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  usinambie king'asti!........unajua inakua gani itc just a touch an she goes yani ka gear nikipress1 inarepond 5times iyo ki2 inafanya nikue suspiscious dat it may be easy come an easy go afu me ndo nimempenda ukweli ata sub yake haipogo
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  msipende kukariri mambo mnayoyasikia mtaani
   
 8. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #8
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Hizo xx maana yake ni nini nimeshindwa kuelewa msaada plz
   
 9. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo wewe ulikua unataka akusumbue sumbue enh?jifunze kuelewa usikrem kila kitu!
   
 10. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,965
  Likes Received: 1,854
  Trophy Points: 280
  halafu ulimuapproach wa nini kama hukutegemea kukukubali?

  nyie vijana wa kileo mkikataliwa mnalalamika mkikubaliwa mnalalamika nenda kachonge wa kwako wa mabox ambaye hata sema chochote kile wew tu ndo utakayesema.
   
 11. DALA

  DALA JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 874
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 80
  Kwani wewe ulitaka iwe kama riadha kabla ya kukukubali? Wanaume bwana, huyo binti angekuwekea tight ungelalamika pia! Hebu nitumie namba yake uone kama utabaki naye!
   
 12. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  kazi ipo; yaani utongoze mwenyewe, ukubaliwe, then uje kuomba ushauri kwa nini umekubaliwa kirahisi hivyo! jipe muda ukue kidogo, labda akili itakaa sawa...btw, angekutongoza yeye si ndiyo ungezimia kabisa
   
 13. Me370

  Me370 JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 995
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Maharage ya mbeya maji mara moja. Mcharuko huo, unaenda kufa.
   
 14. L

  Luluka JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  huwa sielewagi comments zako!ni kwamba unakurupuka au ni mtoto sana!!
   
 15. A

  Angeloos Member

  #15
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Labda uniambie ulikuwa unajaribisha sasa unaona mambo yanaenda ndio umekuwa na wasiwasi. Mimi sioni tatizo la wewe kumtongoza msichana uliyempenda na yeye akawa amekupenda akakubali. Isipokuwa unatakiwa kujipa muda wa ziada kuchunguzana kabla haujaconclude kwamba she is the right person. Hata wanawake wana haki ya kupenda jamani acheni mambo ya kizamani.
   
 16. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #16
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Mchunguze kwa kuvuta muda, usije ukaingia choo cha kike!
   
 17. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #17
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,831
  Trophy Points: 280
  Ulitaka usumbuliwe kama unatafuta nafasi ya kazi ndio ufurahi! Na yeye ana moyo kama wako! Wengine wanakataa mdomoni lakini walisha kubali tangu mwanzo!
   
 18. piper

  piper JF-Expert Member

  #18
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  What do you need? si ushamaliza kila kitu, au ulitaka akupe za mbavu kwanza? relax
   
 19. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #19
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hiyo ni LUST tu, picha linakuja mbeleni hapo!
   
 20. felinda

  felinda JF-Expert Member

  #20
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 351
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  love at the first sight...nae pia alikupenda the first day amekuona so akupenda kukupoteza tatizo nyie wanaume mmezoea kusumbuliwa mkikubaliwa kirahis mnasema muhuni....shauri yako
   
Loading...