Naomba kujuzwa

Comi

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
3,328
955
Mara nyingi nimeona thread zimeandikwa natafuta mchumba/mke/mume.

Swali langu ni je mchumba,mume,mke ndio unaoanza au ni urafiki maana nijuavyo mimi ni lazima muanzie kwenye urafiki ndio mhamie kwenye uchumba n.k je niko sahihi au la
 
Kila kitu kinawezekana... Haya mambo hayana formula ndugu.!
 
mnaweza kuanza hata kwa uadui na mkawa marafiki, wachumba na hatimae mkaoana, kama alivyosema mkuu hapo juu hii mambo hapana kuwa na formula kabisa
 
Mh! Kwa hiyo wanakosea kuandika kuwa wanatafuta wachumba/mke/mume
 
hapana hawakosei,mtu anatakiwa ajue intentions zako from the very beggining....:flypig:
 
Mara nyingi nimeona thread zimeandikwa natafuta mchumba/mke/mume.

Swali langu ni je mchumba,mume,mke ndio unaoanza au ni urafiki maana nijuavyo mimi ni lazima muanzie kwenye urafiki ndio mhamie kwenye uchumba n.k je niko sahihi au la
ndugu lengo ndio muhim.kwenye kiswahili neno "rafiki" uchumba" haya ni maneno tofauti sana rafiki hawezi kuwa mke ila mchumba ana weza kuwa mke au mme,
 
Back
Top Bottom