Wanachuo wengi wanawapenzi chuoni na sehemu wanazotoka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanachuo wengi wanawapenzi chuoni na sehemu wanazotoka

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by CANCER, Jul 16, 2012.

 1. C

  CANCER Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Hali niliyokuwa naitegemea kuwa mtu akisoma huwa anaongeza maadili na maarifa lakini nilipofika chuo sio vile katika suala la mahusiano, ni kawaida kwa wanachuo kila mmoja anapofika chuoni kuanzia uhusiano mpya , wakati alikotoka aliacha mtu wake . wengine wanaenda mbali zaidi na kuwa makahaba kwa kisingizio cha ukosefu wa fedha . HIVI wasomi hatuwezi tukawa mfano bora kwa jamii katika suala la mapenzi . hivi sasa sehemu zinazozunguka vyuo wazazi wanalalamika watoto wao kuharibiwa maadili na wanachuo . mavazi hapo usiguse wanawake wanatamani kuingia lecture na chupi , if possible tupunguze tuheshimu wachumba tunaowaacha nyumbani.
   
 2. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  hawa viumbe ukiwashauri ndo wanaharibu zaidi. Ni mama zetu,dada zetu, wake zetu lakini nahisi kuna kitu Mungu aliwapunguzia. Huoni hata waliopo mjengoni wamegeuka ngoma za wakubwa! Nyie ndugu zetu mi nawashauri mkate rufaa ili mrudishiwe hicho kifaa.
   
 3. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  mmmmmm hajazungumzia wanawake pekee...:eek2:
   
 4. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  wewe siku hizi hamana relationships kuna locationships....unakamatia kimada pale ulipokuwepo kaka
   
 5. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Justification ya ''fimbo ya mbali haiui nyoka' Mkuu'. On a serious note, hali ni mbaya kwa sababu nimeshuhudia hayo unayoongea. Hata wenye ndoa zao wameishia kutembea na vserengeti boys na wengine wamefumaniwa na kuharibu ndoa zao.
   
 6. Blood Hurricane

  Blood Hurricane JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 1,151
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Kwani vyuoni kuna wanawake au makapi a.k.a Manungayembe..??
   
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,839
  Trophy Points: 280
  Weka semina hapo chuoni kwako!
   
 8. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Was waiting for this....
   
 9. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Hili kaka halina mjadala, wanapoingia chuoni mahitaji uongezeka ili kuongeza vyanzo vya mapato lazima atakuwa na mahusiano mengi tuu.
   
 10. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Wamekwenda kujifunza kungonoka maana kwa umri wao damu ndo inatokota haswa akiguswa tu tayariii....
   
 11. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kweli tutakwisha na ngoma tusipotulizana...................
   
 12. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #12
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  its part of our freedom, deal with it. however if u have a gf/bf from b4 wengi huwa faithful, but if u're single then anything goes (as long as u're safe). society shouldn't expect us to be role models in love affairs that is not realistic
   
 13. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hii kitu sio bongo tu hata ulaya na sehemu zingine..unaambiwa student life is one of the best times in your life maana ni pamoja na kusoma tu ni kula starehe kama kawa...mtu yuko mbali na mwenzi wake kwa miaka 3 we unafikiri atakaaje mwenyewe
   
 14. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  aisee nnaye shemeji yangu yupo likizo, ana simu tatu, na laptot. Walipofunga alikuja na rafiki yake anatembea na babu yake, yaani mme wa bibi yake mkubwa, sijajua km ana wanaume wengine wangapi. Huyu sasa shemeji yangu ana mchumba wake yuko mkoani huko, bd huko chuoni ana vi serengeti kibao, barabarani akikutana na wanaume akihisi kuna pesa hakatai, toka amekuja hapendi kulala home, kila siku ruhusa sijui kuna birthday tabata, mara leo send off mbezi beach, ni full kulala nje, hizo simu zikianza kuita ni full kelele. Kwenye facebook nako ni hatari tupu. Mimi nawaonea huruma sana wenye wachumba vyuoni, kwa taarifa zenu hawa wachumba wenu wanasafiri sana mikoani na watu mbalimbali wakiwa vimada wao kwenye ma semina huko arusha, mwanza, morogoro, tanga, zanzibar. Mbeya nk. Ukiwa na mchumba wa chuo andika umeumia
   
 15. C

  CANCER Member

  #15
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  kwa hali hii ya wanachuo kuwa na wapenzi wengi tutegemee ukimwi kuongezeka na kupoteza wataalamu . Fikiriamtu amesoma miaka mitatu, minne au mitano harafu baada ya kugraduate anakuwa ana HIV stage 2 then two or four year later anakuwa stage 3. inatishe .pili kwa akina dada wengi wanaosoma vyuo umri wao unakuwa kati ya miaka 23 mpaka 30. ukiendekeza umalaya kama ambavyo wanachuo tunafanya siku hizi plus abortion au contraceptive use na mikorogo ya kwenye nyele , dawa za mchina , magonjwa ya zinaa inasababisha either kutopata mtoto,kupata mtoto mwenye matatizo(congenital abnormalities) . kutoka kwa mimba (miscarriage) . kwanini wasomi tunataka kuzidiwa na watu ambao hawajasoma kwenye suala la mahusiano ili hali tuna elimu ya kutosha .inashangaza mtu anayetegemea kuwa afisa baada ya miaka mitatu,miwili au mmoja anakuwa kahaba. if possible let change,
   
 16. felinda

  felinda JF-Expert Member

  #16
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 351
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Asilimia kubwa ya wanachuo wanakotoka walikua wanabanwa sana so wakifika chuo ful kujiachia, so lazima wapenzi wa zaman wapingwe chini...alafu vi2 vingine ni ulimbukeni 2 unawasumbua...,
   
 17. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #17
  Jul 17, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,285
  Likes Received: 3,017
  Trophy Points: 280
  Binafsi nilikataa kabsa kuwa na mpnz kabla sijamaliza masomo yangu..I hate mapenzi aise..
   
 18. s

  slufay JF-Expert Member

  #18
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wacha vijana wajimwage kwa raha zao kama ishu ni vazi shauri dress code
   
 19. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #19
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135

  Fimbo ya mbali haiuwi nyoka!
  Hamadi kibindoni silaha mkononi!
   
 20. E

  Estyzo Senior Member

  #20
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  1. nilipokuwa o-level nafurahi ngono kwa wanachuo nikiamini kuwa wengi wakipata ukimwi ajira zitakuwa simple kwa sababu afya ndio kila kitu na wenye afya nzuri watakuwa wachache na ndio tutakao ajiriwa nilijipigia hesabu namimi...it was past.
  2. kwa sasa hali inaweza kuwa mbaya zaidi maanake bodi wamezingua mikopo kuna college ndani ya udom inaitwa social science pale kozi kalibia zote hazina mikopo kwa sasa na kinachukua karibia wanafunzi elfu 3 na watoto wakike wanavyopenda maisha simple watapakuliwa mpaka basi...........siombei iwe hivyo.
  3. kama vijana na wasomi tunapaswa kujicontrol na kujiheshimu taifa linategeme vijana kma nguvu kazi na kijana mwenye afya ndiye anayehitajika kama utashindwa kujiheshimu na kuishi maisha ya kihuni utapata magonjwa mengi na utapotea bure au kuwa mzigo kwa familia/jamii hata taifa. (ushauri nilipewa last year na umenijenga sana japo nimeandika kwa kifupi)
   
Loading...