Naomba ushauri wenu wana jf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba ushauri wenu wana jf

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kbz, Jul 18, 2012.

?

help me

 1. to be members of jf

  0 vote(s)
  0.0%
 2. to

  0 vote(s)
  0.0%
 1. k

  kbz Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poleni na majukumu yanayowakabili,

  Mm ni msichana mwenye umri wa miaka 26,kwa mara ya kwanza najiunga na jf nikiomba ushauri wenu

  Nina mpenzi wangu nampenda sana na hatuna mda mrefu, tuna miezi nane hatujawahi kufanya mapenzi ila tuna chati na kutembeleana, Ila kinachonitatiza yapata wiki sasa nikipiga cm hapokei wala sms hajibu,na hajanieleza chochote kama kapata mwingine au la sielewi nifanyeje kwa hili naomba ushauri wenu
   
 2. Lateni

  Lateni JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 685
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Pole sana, jaribu kutafuta marafiki zake au ndugu zake , wanaweza wakakupa some informations, usipanic, kama amepata mtu mwingine utajua tu,
   
Loading...