Tafadhalini sana, sana tena sana naombeni ushaur! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafadhalini sana, sana tena sana naombeni ushaur!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Dijovisonjn, Aug 3, 2012.

 1. Dijovisonjn

  Dijovisonjn JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 450
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nlipokuwa form one mwaka 2004 nlitokea kumpenda sana msichana fulan, nilimpenda sana tena sana, nilipojaribu kum-approach alinkatalia (naamin alinikataa kipindi kile kwa sababu alijiona mdogo) basi nikaamua kumfanya rafiki wa kawaida.
  Tulipofika form three mwaka 2006 mimi nlihama shule na kuhama mkoa kabisa na kwa vile kipindi kile mawasiliano ya simu yalikuwa hayajaenea kwa kiwango kikubwa mikoani niliondoka bila contact zake, hiyo ilikuwa 2006!
  Mwaka 2010
  baada ya kumaliza form six nilibahatika kupata contact zake na tukawa tunawasiliana mara kwa mara, ila ukweli ni kwamba mimi bado nlikuwa nampenda sana na mpaka sasa nampenda sana.
  Mwaka 2010 aliniambia kuwa ana mpenzi kitu ambacho nilijaribu kukielewa na kujipa matuman kuwa wataachana nami nitaweka jina, mpaka sasa bado hawajaachana! Mwaka huu uvumilivu umenishinda, pamoja na kujua kuwa ana mpnz nlim-approach, mwanaume nilibembeleza jumatatu ya wiki hii nikaeleweka nikakubaliwa, jumatano, binti kanitumia sms anadai eti hataki kuwa na mimi tena, kisa eti anajihisi mkosaji mbele za Mungu kwa hiyo hawezi kuachana na huyo mpenzi wake bila sababu yeyote.
  Nikitafakar binafsi naona binti yuko sawa na binafsi naona kama simtendei fresh mshkaji, ila kwa upande mwingine namhtaji sana huyu binti kwa gharama yeyote ile nahisi nitakuwa na amani pamoja na furaha kama nikimuoa huyu binti ila kwa jinsi hali ilivyo kwa sasa najihisi nimezidiwa, wanajf plzzz nisaidieni, NIFANYE NINI?
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  huyo dada hajielewi anampenda nani.

  Unaweza kuwa na Juma ukamtamani shabani na ukawa hujakutana hata na unayempenda.

  She is caught between Keagan and Seydou, poor Talia!
   
 3. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Sasa ameshakwambia hawezi kumuwacha bila sababu huoni Kama amekupunguzia mzigo au unadhani hata akitoka kwake halafu umchukue wewe unahisi unatenda haki? Usijizonge huyo msichana sio rizk yako,muombe mungu akupe mbora zaidi yake na achana kumfikiri na kuongea nae......
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  kongosho unachakachua hadi hapa? kutuletea mambo ya bigi buraza?


   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  mkuu,
  huyo binti umezaliwa nae?
  si mmekutana wote mna meno 28 (maana enzi hizo nahisi yalikuwa hayajatimia 32)

  achana nae, songa mbele...
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  ndio situation aliyojikuta.

   
 7. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Akunyimaye mbaazi, kakupunguzia mashuzi.
   
 8. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  Tafuta mwanamke mwingine!
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  ila BT, ujue kuna watu wanajua kukamata mioyo jamani.

  Utadhani wana ulimbo.

   
 10. Little Angel

  Little Angel JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  pia inaonekana kuwa dada anampenda mtu wakendo maana anafeel guilty kuwa na wewe. songa mbele utampata umpendae
   
 11. chelsea fc

  chelsea fc JF-Expert Member

  #11
  Aug 3, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 835
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  ....is JF,no longer a great thinkers ..........
   
 12. Little Angel

  Little Angel JF-Expert Member

  #12
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  tena huenda labda angekusumbua mbele ya safari.akaze moyo tu na kuvuta subira atampata ampendae.
   
 13. Little Angel

  Little Angel JF-Expert Member

  #13
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  sasa kongosho hata kama hakutaki utaendelea kumng'ang'ania tu na kuumia nafsini. unafunga page unafungua ingine hana.
   
 14. Me370

  Me370 JF-Expert Member

  #14
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 995
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mpe mimba
   
 15. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #15
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  acha kuwa king'ang'anizi, inaweza kukugharimu huko mbeleni
   
 16. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #16
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,325
  Likes Received: 2,320
  Trophy Points: 280
  Bado anakuona mdogo 2010 ndo umemaliza six je chuo lini na je kazi lini na je kujijenga kimaisha ili uoe ni lini kajiuliza hayo maswali kaona hiyo kamali ya kumuacha huby wake kukufuata wewe imeegemea kwenye kuliwa
   
 17. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #17
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  ndio unafunga page huku moyo unauma.

  Akipita akatabasamu tu wee unaanza 'unaniite? Beee!'

   
 18. Little Angel

  Little Angel JF-Expert Member

  #18
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  hahaaa,sasa hiyo itakuwa ishu ingine . kama umeamua kufunga page wala huwezi kujirudisha my friend.
   
 19. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #19
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Huyo mpaka ataolewa wewe bado unasubilia waachane....yale yaleee ya fisi kufuatilia mkono wa binadamu may b siku moja utaanguka!
  kaka riziki si yako, unaweza kumpata na matatizo ndo yakazidi huko mbeleni,
   
 20. Little Angel

  Little Angel JF-Expert Member

  #20
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  halafu aishi nae siyo? matokeo yake ni kwa cheated mbeleni.
   
Loading...