Video: Najiba akiuwawa Kikatili kwa kosa la Uzinzi

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,427
85,872
http://www.youtube.com/watch?v=9OXCStY7yXI

Nimesikitishwa sana na taarifa hii, kama una PC waweza fuata link hii hapa chini na kuona jinsi Najiba (22yrs) alivyouwawa kwa kupigwa risasi mfululizo baada ya kutuhumiwa kuwa amekuwa na mahusiano nje ya ndoa, huku Wazinzi hao (males) wakitekeleza mauaji hayo as if ni haki kufanya hivyo. Hizi ni baadhi ya picha za wanaume wakish 729x410talibanshooting2-20120709070829167019-620x349.jpg an 729x410talibanshooting3-20120709070934956184-620x349.jpg galia na huyu Muuaji akitekeleza unyama huu in the name of Dini

Chini hapa ni rundo la wanaume wakishangalia unyama huu, stori yake unapata hapa 'We cannot forgive her, God tells us to finish her': video shows public execution of woman, 22, in Afghanistan after adultery allegations

353talibanshooting4-20120709071651141382-300x0.jpg
 
Hawa jamaa hawanaga huruma pale wanapobaini jambo fulani.

Na imekuwa ni tabia yao na siku zote tabia haina dawa!
 
Jesus forgave a woman who was caught in adultery because those who caught her could not prove if they were not sinners. They ran away and Jesus told to go and sin no more. These men are more than adulteres but religion can order anything because it is not Godly. God is a God of Mercy and forgiveness.
 
Mpwa hii ilikua tuhuma tu, mbaya zaidi wanatumia kigezo cha dini kumuadhibu wakati aliefanya nao ni hao hao wauwaji wake, sijui imekaaje hii hata sielewi angekutwa na mimi Elli sijui maan ahapo ni wenyewe kwa wenyewe
Hawa jamaa hawanaga huruma pale wanapobaini jambo fulani.

Na imekuwa ni tabia yao na siku zote tabia haina dawa!
 
dah wamemuonea mwana dada wa watu, na mwanaume aliyekuwa naye yu wapi? kwasababu hata kwenye biblia wameandika watu walimfumania mwanamke mmoja akizini wakampeleka kwa Yesu wakamwuliza hatima ya huyo mwanamama .Yesu aliwajibu asiye na dhambi awe wa kwanza kumtupia jiwe huyu mwanamke waliondoka pale pale wale wanaume . yawezekana hao walimuua huyo mwanadada ndo wale wale wazinzi ni unyama sana
 
hapa kwetu yako karibu kutokea. kuna mtu juzi alianzisha uzi wa hawa jamaa kununua viwanja ili kujenga mji utakao ongozwa kwa itikadi hizi. mi naamini hawatafanikiwa.

halafu, siku zote mbona dini hii ni oprresive kwa mwanamke? huyu mdada alijifanyia hiyo kitu au alikuwa na wanaume? mbona wanaume hawakuuwawa na badala yake wameuwa mwanamke?

dini kandamizi sana hii
 
Halafu hukumu yenyewe haikuchukua hata one hour, tayari kila kitu na wamehukumu kumuua kwa risasi na anaetakiwa kufanya hivyo ni mumewe, huku mtuhumiwa ambae ni kamanda wa talibani wakiendelea kushangilia, Dada zetu angalieni wachumba wenu hawa jamani, ohohooooo
 
The worse and devilish pathetic religion...they preach hatred, vengeance and murder...their heart and souls are possed by death angel..GOD knws how i dis these pigs..!
 
mmh " women should cultivate onecrop only to one farm ", swala sio kuisha itakuwa obsolete when it have different users if that be the case by the way if one door can be opened by many different keys no one will ever put his jewery in that room since they can be stolen at anytime . sio kusema K yenyewe haiishi bana
 
Halafu hukumu yenyewe haikuchukua hata one hour, tayari kila kitu na wamehukumu kumuua kwa risasi na anaetakiwa kufanya hivyo ni mumewe, huku mtuhumiwa ambae ni kamanda wa talibani wakiendelea kushangilia, Dada zetu angalieni wachumba wenu hawa jamani, ohohooooo

Ukoo wetu ipo kiapo kabisa ukiolewa nao unakufa ucku wa harus au ucku wa kwanza kuishi na huyo mwanaume wa kipepo! They are so weak, irrational and becoming the believer it reduces ur thnking capacity automatically!
 
Sasa Mpwa wangu, kama kuna kifo si yale yale tu? sie tunakwepa hivi vifo sasa kama ukoo wenu unayafanya mie mwaya sina cha kuongeza tena.
Ukoo wetu ipo kiapo kabisa ukiolewa nao unakufa ucku wa harus au ucku wa kwanza kuishi na huyo mwanaume wa kipepo! They are so weak, irrational and becoming the believer it reduces ur thnking capacity automatically!
 
Sijakusoma Mpwa
mmh " women should cultivate onecrop only to one farm ", swala sio kuisha itakuwa obsolete when it have different users if that be the case by the way if one door can be opened by many different keys no one will ever put his jewery in that room since they can be stolen at anytime . sio kusema K yenyewe haiishi bana
 
mmh " women should cultivate onecrop only to one farm ", swala sio kuisha itakuwa obsolete when it have different users if that be the case by the way if one door can be opened by many different keys no one will ever put his jewery in that room since they can be stolen at anytime . sio kusema K yenyewe haiishi bana
heee.........wewe huwa unaweka dhahabu mule??.....au huwa unachimba dhahabu??
yani mara hii umemgeuza mwanamke kuwa Buzwagi Gold Mine...haahahaa!!
 
Kuna watu wamegeuza migodi, si ondio maana unawakuta baada ya hapo wamelowa jashooo, na kuchoka kupita maelezo
heee.........wewe huwa unaweka dhahabu mule??.....au huwa unachimba dhahabu??
yani mara hii umemgeuza mwanamke kuwa Buzwagi Gold Mine...haahahaa!!
 
Alikuwa kishawishi kikubwa kwa wao kufanya nae ngono, kujiepusha nae was to kill her.
 
Back
Top Bottom