Haelewi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haelewi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Double K, Aug 2, 2012.

 1. Double K

  Double K JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 908
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  inakuwaje mwanaume anashindwa kuelewa hisia za mpezi wake, yani huyo mvulana anajifurahisha mwenyewe mkiwa katika tendo lile, unamuonyesha kila dalili kwamba hujaridhika ila bado, unaongea kwa mifano wapi hata unashindwa kumuelewa kwakweli, ukimwambia hata haelewi kabisaaa. YANI IN SHORT HANA ANY KNOWLEDGE ABOUT WOMEN, hata ukimwambia nipo in danger days kuna uwezekano mkubwa wa kuwa na mimba ilikuwa ni topic ilibidi nianze kumfundisha ila ikifika tena siku nyingine kasahau heeeee!!!!!!!!!!!!! kuna siku nilimuuliza kama biology ya form three walikuwa na mwl au la (NISAIDIENI JINSI YA KUMWAMBIA ANIELEWE)

  Pia caring hana anakuona sijui kama yeye, jamani its not like wanawake tunapenda zawadi ila hata once in a year hata kwenye birthday yako lol!! unashindwa umwambieje, ukimwambia kutoka anakwambia bado tuna mambo mengi ya kujiandaa nayo kimaisha pia uko kwenu sio vzr utoke usiku, yani anaogopa kuliko hata wewe na wazazi wako sijui ni caring au hataki. nyumbani ndio hataki kufika ila yeye kutwa kunitambulisha kwa ndugu zake, ukitoka na rafiki zako anataka uwambie two days before au ndio atanuna mbaka basi, ufanyeje.
   
 2. j

  jeneneke JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 760
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Ukiona manyoa?kama anajua kufungua zipu anajua vyote anavyotakiwa kufanyiwa mwanamke anakuyeyusha hamia airtel
   
 3. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Umesema mambo mengi mnoo kwa hiyo unataka tukusaidie lipi?
   
 4. by default

  by default JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  jana alikuja na story nyingne leo nyingne huyu inaonekana ni MWING WA HABARI
   
 5. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Na hata ukiangalia siku ambayo alijiunga na JF ni jana uvumilivu utakuwa hafifu.
   
 6. Jimmy Romio

  Jimmy Romio JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Ni pm nikuambie kitu or see me here jimmyromi@yahoo.com
   
 7. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #7
  Aug 2, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Yumo humu, tukusaidie kumfunda?
  Kama hayumo mtambulishe kwa JF ili magwiji wa humu wamfunde how to please a girl chumbani na maishani!
   
 8. Double K

  Double K JF-Expert Member

  #8
  Aug 2, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 908
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  sio kwamba kujiunga jana ndio mambo yote yametokea jana, yapo sema I never had a chance kusema, am expecting you mnisaidie.
   
 9. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #9
  Aug 2, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Tatizo umekuwa kama unamwambia mtu specific..
  Yaani hauonyeshi nini kinakukwaza..
  Hebu funguka zaidi usaidiwe bibie...
   
 10. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #10
  Aug 2, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Kaunga unaishi wapi...........mjini hapa wewe shangaa........stuka
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Double K

  Double K JF-Expert Member

  #11
  Aug 2, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 908
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  yani yeye social networking mmmmm nitajitahidi ila sitaki ajue niko humu maana ndio atanisema mpaka, fb yenyewe alinilazimisha nifunge account ila nikakataa nikasema kama haniamini basi.
   
 12. Double K

  Double K JF-Expert Member

  #12
  Aug 2, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 908
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  kwahiyo nisiseme?
   
 13. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #13
  Aug 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mkuu wewe mwambie hapa hapa watu waone kuna haja gani ya PM na kutoa hadi email
   
 14. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #14
  Aug 2, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Jana kaja na habari ya yeye na b/f wake wa kikurya........

  Kabla ya ushauri aliopewa haujamuingia kichwani........kampa K na kuanza malalamiko
   
 15. mdida

  mdida JF-Expert Member

  #15
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 1,608
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Hello bidada kwanza sikiliza kwa makini, hapo kwenye bold hapo ni kwa nini uongee kwa mifano? mpenzi wako ni bubu? kuwa wazi mwambie ukinifanyia hivi na vile naridhika sana dear.madam wewe unauelewa basi muelemishe. pili wakati mpo kwenye mahusiano ni lazima kila mtu ajue mwenzake anapenda nini na nini hataki.mwambie unapenda zawadi ikifika siku ya birthday yako tena kwa upole na kutumia lugha nzuri. kuhusu rafiki zako unatoka nao kwenda wapi? barget ya bf wako unatoka na marafiki zako? je humhurumii kwa hayo matumizi mabaya wewe na rafiki zako? nafikiri mpenzi wako kama utaona utakuwa na uchungu kuhusu hela yake atakupenda sana. toka wewe na yeye tu.
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Aug 2, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Double K inatakiwa uweke wazi hisia zako kwa mwenzio usisubiri mpaka mwenzio apige ramli kujua hisia zako hata kama unapendea kuliwa kuku mtamu unaweka wazi tu mwenzio anafaidi mpaka mifupa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Jimmy Romio

  Jimmy Romio JF-Expert Member

  #17
  Aug 2, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  nikimwaga hapa nitafungiwa! ni scud nzito sana!
   
 18. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #18
  Aug 2, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  kama unampenda na unaamini yeye anakupenda zungumza nae haya mambo mbona yanaongeleka kabisa, kila mtu ana mapungufu yake na hakuna mwanadamu aliyekamilika, na ukiona wewe na yeye hamuende kwenye misimamo iliyosawa kwenu wote bora muishiane kwa amani kuliko kupotezeana muda.
   
 19. D

  Doreen22 JF-Expert Member

  #19
  Aug 2, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Embu shusha hilo zigo Shosti, hamia Airtel kama ulivyoambiwa, huko network inazingua, unajichosha bure na kujiumiza akili yako, kwa kuwa na mtu kama huyo
   
 20. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #20
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,700
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Hebu jaribu kumwambia hisia zako ya kwamba una hitaji care kutoka kwake, una hitaji mapenzi ya kweli kutoka kwake, yeye ni muhimu kwako, huna mwana ume unaye muhitaji zaidi yake, huna wakutoka naye zaidi yake, huna wakukubembeleza zaidi yake, huna mwanaume wa kumpa penzi zaidi yake na nipeke yake!

  Nafikiri kufunguka kutakusaidia kwa huyo boy wako. Tafuta njia ya kufikisha ujumbe vizuri kwa lugha nzuri na tamu itakayo mfanya abadilike!

  Funguka!
   
Loading...