huyu mtambuzi vipi leo....?

Status
Not open for further replies.

Mwana JF

Member
Jul 27, 2012
26
1
mbona ijumaa ya leo hajaweka kesi yoyote....? Mi nasubiri hadi muda huu cjui kapatwa na nini leo.
 
Hata mimi huwa nasoma zile kesi ijumaa jioni nikitoka zangu kuingiza ridhiki.
Nmecheck nikakuta hijabandikwa roho imeniumaje?
 
Umeonae? Niliandika hapa wengine wakajitia eti Mtambuzi ni nani?Ndo huyo anayegusa kila mtu kwa mada anazoziandika.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom