How Long can You.??

cheichei01

Member
Jul 26, 2012
24
3
Habari wanaJF,

icon5.png


Je ni mda gani unaeza kukaa bila kufanya ngono na mwenza wako ie boy/girlfriend??

Wht abt married couples???
 
inategemea na libido yenu, kuna ambao 'zege halilali' na kuna wale ambao hata wakikaa mwezi mzima kwao ni sawa tu
 
Inategemea na satisfaction na raha unayopata, kama ni machungu hata hutaitaji kumuona ila kama ni tamu jibu unalo.
 
Ngoja nijifiche hapa pembeni calculator yangu!
 
afu ukishajua yetu wee inakusaidiaje?

Unaangalizia hadi muda wa kupumzika ngono!

Ama kweli ubunifu umetuisha, full copy and paste, full mlenda, full ganda la ndizi, full mteremko.
 
Back
Top Bottom