Spouse wangu, I lost count zilipofikia pairs 100 baada ya 4 years ya marriage . . . sasa sijui idadi aliyonayo.
Vingine havivaliwi, kila msimu au sherehe na kiatu chake . . . . sasa hata sijui ni...
Hivi ni umri gani mtu atakoma kuamkia amkio la shikamoo? Utaona mtu mzima yuko kwenye 50s bado anarusha shikamoo kwa watu ambao kwakeli hapishani sana nao.Au ndiyo hawa wamepewa roho ya ujana hata...
Habari zenu jamani?
Mimi nina mpenzi wangu ambaye nampenda sana na yeye ananipenda sana (kwa mujibu wa mdomo wake)
Sasa tatizo ni kwamba anapenda sana kukaa na kupiga story na wanaume.
Niliwahi...
WHEN A WOMAN OPEN HER BODY TO A MEN THE MEN IS CURSED SEX AND LOVE ARE PURELY 100% UNRELATED. LOVE FOR THE HEART SEX FOR THE BODY.
from my book coming soon long walk to real love
Jaman nimeachwa kisa ni mtandao mmoja hivi wa kijamii, sio kwamba nilikua nautumia vibaya wala nini!! Ila ilifikia mda nikaambiwa mambo yangu yote anayajua kwahiyo mimi na yeye tusijiane...
Inatokea kuna mdada umempenda sana,unachukua uamuzi wa kumtongoza na yeye bila hiyana anakukubalia,mnaingia kwenye mahusiano,inapita kama miezi 3 bila kukutana kimwili tangu muanze uhusiano maana...
habar zenu waungwana. naomba niwaulize kaka zangu, hivi mnapo sema 'sitaki kuwa na uhusiano na mwanamke yeyote' hasa baada ya ugomvi na mchuchu wako huwa mnamaanisha? Kuna dadanataka kuenda...
Ilikuwa ni mwaka 1999 baada ya kuwa nimetumikia shirika la umma kwa takribani miaka 20 nilijikuta nikiwa miongoni mwa wafanyakazi 70 wa shirika hilo tuliotupwa nje ya ajira kwa kile kilichoitwa...
Jamani wanajamii naomba mnisaidie nimeshuhudia wanawake wengi ambao hawajaolewa mfano Anna Makinda wanakuwa na maamuzi ya kibabe na yasiyo husisha busara tatizo huwa ni nn?
Jamaa kaletewa Laptop yakufanyia marekebisho na mpenzi wake anaetaraji kufunga nae ndoa nakuishi kama mke na mume.
Katika kuiwasha akagundua ndani ya cd drive kuna VCD ku play ni ya picha za...
Nazungumzia wanaume ambao hawajaoa na ambao wanataraji kuoa na au wanaotaraji kuoa lakini wanakatishwa tamaa na story nyingi hasi kuhusu ndoa.
Nimeandika haya kufuatia mazungumzo na baadhi...
habari za jumapili wapendwa, natumai wengi wetu tumetoka church na wengne tumepumzika na kuna wengne wapo mzigon km mie hapa. nisiwachoshe. . .
nimewahi kukutana na baadhi ya akina baba...
Habari zenu waungwana... nauliza inawezekana kumfanya aliekua mpenzi wako kuwa rafiki yako wa karibu wa kumuomba ushauri katika mambo mbalimbali ikiwamo masuala ya mapenzi? tiririkeni tu mi...
Siku moja kulikuwa na bendi moja ya taarabu wanatumbuiza eneo fulani,mimi si mpenzi wa taarabu ila kwa kuwa siku nyingi sijaenda mziki kutokana na mazingira nikaamua kwenda kuburudika.Katika usiku...
Leo nimeamua kuwaandikia barua dada zangu ambao wanatamani sana kuwa na mahusiano na wanaume lakini kwa bahati mbaya hawajabahatika kumpata anayewafaa. Kwa wale ambao wanaona kama muda unayoyoma...
To all the girls I've loved before
Who travelled in and out my door
I'm glad they came along
I dedicate this song
To all the girls I've loved before
To all the girls I once caressed
And may I say...
Kwanza napenda kuwapongeza na kisha niwape moyo, Kuoa ndio ishara ya dhati ya uanaume na pili ndio sifa halisi ya mwanamme mpiganaji, kuoa kuna kwenda na responsibilities nyingi sana, tena nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.