can women and men be friends? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

can women and men be friends?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by BAK, Aug 6, 2012.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,918
  Likes Received: 83,481
  Trophy Points: 280


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. mito

  mito JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,655
  Likes Received: 2,040
  Trophy Points: 280
  BAK hili suala linakuaga na mixed views kama inavyojitokeza kwenye clips hapo. Ila kinacholetaga utata hasa ni motives behind our friendship. Baadhi yetu tunakuwaga na 'hidden agenda' ila tunaona njia nzuri ya kutimiza lengo lako ni kuanzisha urafiki wa kawaida kwanza na mhusika.

  Kwahiyo ni suala complicated kwa sababu unakuwa hujui mwenzio ana lengo gani zaidi. Binafsi naamini we can just be friends, na ninao marafiki wa kike wengi tu na sijaonaga signs za kunitega hivyo naamini hata wao wananiona kama friends tu wa kawaida
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 160
  mi nashangaa, kuna baadhi siwezi urafiki nao kabisa lazima nimfanye kitoweo kuna wengine hata room moja tunalala na bafu tunashare lakini always they will be my friends nothing more.
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Aug 6, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Mi nakubalina kwa 100% na Steve Harvey

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hii ni eye opener, ma papito wote wamegoma haiwezekani

  na mamito wote wamekubali inawezena.

  Concl. mamamito wanajidanganya sbb hao watu wanaodai

  ni marafiki wanagoma kuwa secretly wanawa like.
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Aug 6, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Can we be friends?
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,918
  Likes Received: 83,481
  Trophy Points: 280
  Aisee hii kitu ni ngumu sana kusema kweli hasa binti awe ana mvuto wa hali ya juu. Umeona hapo njemba zote zinapinga kwamba si rahisi, vimwana mwanzoni vilidai kwamba inawezekana mkawa "friends" bila ya kuwepo "hidden agendas" lakini walipoombwa ufafanuzi zaidi wakaanza kupata vigugumizi.

  Kama mdada/mkaka hana mvuto basi urafiki huwa ni rahisi sana kuudumisha vinginevyo lazima itatokea siku mtazima taa, kufunga pazia na kuanza kuongea kwa sauti za minong'ongo ili watu wasiwasikie.


   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,918
  Likes Received: 83,481
  Trophy Points: 280
  Unapenda vitoweo eeh!? :):)

   
 9. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  I think we shud jst break it, I thot we are friends already :A S cry:

  my next step was to invite you in a bed sophisticated environment!

  with an excuse of bringing me ice cream...
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,918
  Likes Received: 83,481
  Trophy Points: 280
  Umeona eeh! ni ngumu aisee sasa siku hizi wamekuja na kitu kinaitwa "friends with benefits" kila inapotokea mahanjam kuwazidi basi wanaenda kubanjuana bila matatizo.
   
 11. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,476
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Duh! Mtu wangu mi siwezi hivyo, kulala na demu, na kuoga naye halafu nisimgonge, hata kama hataki nitambaka, la sivyo ataniona mi "nyoka wa kibisa"
   
 12. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #12
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  mie nakubaliana na wakaka, hakunaga aisee! teh teh teh.

  labda mimi na Boflo tu ndio tunaweza.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #13
  Aug 6, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Yeeeeeeeesss!
   
 14. mito

  mito JF-Expert Member

  #14
  Aug 6, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,655
  Likes Received: 2,040
  Trophy Points: 280
  Aaaha! Mkuu nitake radhi hapo kwa red, unamaana marafiki zangu wa kike nimeweza kudumu nao kwa vile hawana mvuto?

  Hapana mkuu, inategemea tu na wewe mwenyewe, unajiheshimu kiasi gani na unachukuaje suala la cheating
   
 15. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #15
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,918
  Likes Received: 83,481
  Trophy Points: 280
  lol!....Wakaka wanasema kweli hawataki kuzungushazungusha kama wadada
   
 16. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #16
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,918
  Likes Received: 83,481
  Trophy Points: 280
  lol! wewe uko katika lile kundi ambalo hata binti awe na mvuto kiasi gani bado utaweza kumaintain normal friendship bila kutaka zaidi kutoka kwa huyo rafiki lakini njemba nyingi zitashindwa kuendeleza uzalendo.

   
 17. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #17
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 160
  ushajaribu 'sushi' ya binadamu??

  Utajua why napenda vitoweo.

   
 18. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #18
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  na hio ndio inafanya game ichezeke na iwe tamu. hio ya cat & mouse. teh teh
  BAK sie tuache kuzuga njoo tujaribu kama inawezekana kuwa frndz.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #19
  Aug 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,140
  Likes Received: 7,394
  Trophy Points: 280
  Urafiki ni kusaidiana wakati wa Shida.

  Sasa kama "nimebanwa" then haunisaidii ndo mpango gani huo??

  Unaweza ukanisaidia tu kama best yako na tusiwe wapenzi!!
   
 20. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #20
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,918
  Likes Received: 83,481
  Trophy Points: 280
  Urafiki na Erotica!!!! Saa zote anawaza DUDU tu hahahah lol! (ushahidi angalia threads zilizoanzishwa na ERO wa JF) kamwe hauwezekani hasa ukitilia maanani Erotica kaumbika katika kila kona ya mdada ambayo huwa ina mvuto sana kwa wanaume walio wengi.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...