twins in Zambia share one husband | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

twins in Zambia share one husband

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by charminglady, Aug 7, 2012.

 1. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  hali zenu wana MMU, mapacha wawili wajulikanao kama grace & gracious wameolewa na mume 1 aitwaye Kaundula nchini Zambia.
  kwenu wanajamvi je hili suala mnalichukuliaje? je wewe kama ni twin unameza kukubali wewe na twin wako muolewe na mume mmoja? pia wewe kama mzazi wa twins (refer. cacico) unaweza kukubali twins wako wakaolewa na mume mmoja. na wewe kama mwanaume unaweza kuwaoa twins 2 kwa pamoja? karibuni kwa mjadala. . . .
  source. DAILY NEWS - AUG 7
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  charminglady1 kwa wanaume inawezekana kama ingekuwa ngumu wasingekuwa wanatembea na wanawake lukuki lukuki,na kama siku hizi mama anaweza tembea na mtu same time na mtoto wake hivyo inawezekana,da huyo jamaa anaffaidi kwelikweli da .hili Mtambuzi atalifafanua vizuri pamoja na gfsonwin na Kaunga na HorsePower hawa ni wataalamu wa siku nyingi wa haya mambo njooni huku!!!!!!!!!!!!!!!! ila SnowBall atasema yeye atakuwa wamwisho kuamini Tuko na POMPO watasema hii safi sana subiri waje ila cacico atasikitika sababu ujumbe umemwelemea sana nautamgusa kabisa ila ruttashobolwa atasema yeye anajificha pembeni kidogo anaangalia wanaokuja
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Ninajua familia moja hapa Kigoma (kilimahewa), kulwa aliolewa na akawa na shida ya kupata mtoto; hivyo akamuomba mumewe amuoe twin wake (identical), na wanaishi pamoja ni watu wazima sana labda wako kwenye late 40s au early 50s.

  Sijui psychology ya identical twins lakini nafikiri inakuwa rahisi kwao kushare mwanamume kuliko watu wengine wowote.
   
 4. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Amsterdam kwa hili naweza kusema linawezekana.
  Miaka fulani pale Musoma maeneo ya Nyamatare mtu mmoja aliwaoa twins..
  Bahati mbaya that time i was a young guy..hivyo sikuweza fuatilia..but at least this i believe..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  Amsterdam nimekupata kwa uzuri kabisa. je tukirudi kwenye mila na desturi za kitanzania itasomekaje ktk jamii? unajua hao wenye wanawake lukuki wanatembea nao kwa kificho na sio halali. wakisema leo we Amsterdam hebu chukua wanawake zako wote unaotembea nao ufunge nao ndoa je utakubali? (ni mfano tu)
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  charminglady sioni shaka kabisa sababu mbona kuna wapemba wenzetu na waarabu wanaoa mpaka dada zao isiwe hao mradi maelewano tu ,
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Napita ntarejea badae... kumiliki totoz mbili tena twins si mchezo, jamaa anafaidi sana aise, back soonest.
   
 8. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,719
  Likes Received: 822
  Trophy Points: 280
  wanaume tunapenda kwanza muonekano wa mtu kisha tabia!kama mkeo ana pacha ambaye wamefanana asilimia 100 sioni kwanini mwanaume usimpende na yeye pia!kwa hiyo kwa mwanaume ni jambo rahisi tu kuoa wote
   
 9. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  dah! wat a lucky man he must be...watu tunatafuta threesums yeye anaipata atakavyo.
   
 10. telitaibi

  telitaibi JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hili nalo linawezwa alalishwa kwani now days mambo yamekuwa kawaida kwa kila idara hakuna ajabu tena lo!!!!!!!!
   
 11. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  telitaibi may b kwa vile twins ni wachache lakin km wangekuwa ni weng wangeweza kuandamana wahalalishiwe!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. telitaibi

  telitaibi JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35

  Mungu saidia wasiwe wengi maandamano na mgomo umekuwa kero sasa tena kwa mambo maovu zaidi
  charminglady kama wako huku watuambie msimamo wao jamani hatari hii.
   
 13. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,631
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  mia
   
 14. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #14
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo umekuwa wa kwanza kuamini!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #15
  Aug 7, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Mbona Jacob alimuoa Rachel na Leah? Its ok kuwaoa wote bhana
   
 16. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #16
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  jamani si tunaambiwa kua twins like to share everything together including men so why not...aisee mi ningekubali kabisa kwa sababu ningekua najua kila siku napata threesome....mbona wanaume wengi wangenionea wivu?
   
 17. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #17
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  ukifuatilia zaid biology identical twins alitakiwa kua mtu mmoja.
  kwa maana rahisi ni kua huwa watu wawili ambao wamefanana kwa asilimia nyingi kuliko
  wanavyikua wametofautiana. hii ni kimwili, kiakili na hata kihisia.
  kwa mana hiyo basi, ni rahisi kwa watu haw kua na interpretation zinazofafanan on phenomenas,
  kuwaza/kua na akili kwa namna moja, kupenda/kuchukia vitu sawa, etc in short KUFANANA SANA kwa kila jambo.
  so hata inapofikia kuolewa si ajabu wakatafsiri kuana mme mmoja kua jambo la kawaida na la faida sana kwao.
  Identical twins wana upendo kwa wenzao, ambao unaokaribia ule wa nafsi zao.(wanavyojipenda wao)
   
 18. S

  Samkyjr JF-Expert Member

  #18
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mbona kawaida na zipo nyingi, kuna wadada nilisomanao shule ya pili kulwa aliolewa baada ya muda doto nae akajipeleka kwa nduguye na kuolewa na mme mmoja.
   
 19. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #19
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hao identical twins kuna wakiume pia.... nao ni right kuoa mtu mmoja? maana wao pia wanafanana kama wakike
   
 20. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #20
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  wallah umenipa mawazo sana, huwa ni rahisi sana wao kushare mume! na sijawahi kujua ni kwann! kwamfano twin wangu ukimuudhi kulwa, jiandae kununiwa na dotto the whole day na wanasaidiana kulia kabisa, wanashtakiana kama watoto wengine, ila hataki kumuona mwenzake akiadhibiwa mbele yake!

  ikifika kuumwa, hilo halina mjadala wataumwa tu wote upende usipende, anaweza kuanza mmoja asubuhi, ikifika jioni yule mwingine anaumwa zaidi ya ya yule aliyeanza! kwenye kuolewa nina story ya ajabu, kuna dada mmoja nimefanya naye kazi kipindi cha nyuma, yeye ni dotto, mwenzake kulwa aliolewa, huwezi amini alikuwa anatoka na shemejiye na kumbe hiyo tabia walianza kaleeeee ye na pacha mwenzie ya kushare! so alipokuja tembea na mumewe kulwa alireact japo si sana, na sasa dotto kaolewa naye na huyo kaka, na wanaishi nje nisingependa kuitaja nchi! ila haya mambo yapo na inanipa wasi wasi mnoooooooo! NAOMBA MUNGU AWAPISHIE MBALI cindy na cierra wangu, na chartee na chantell wa mdogo wangu! lol,
   
Loading...