Athari za Baiskeli kwa Wanawake! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Athari za Baiskeli kwa Wanawake!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bazazi, Aug 8, 2012.

 1. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,030
  Likes Received: 561
  Trophy Points: 280
  WanaJamvi,

  Kuna taarifa toka kwa wanasayansi. Wamedai wamefanya utafiti na kuthibitisha kuwa uendeshaji wa baikeli wa muda mrefu (regular bicycle riders) una athari mbaya kwa wanawake katika mahusiano ya kimapenzi.

  Wanasayansi wanadai kuwa wanawake hao hukumbwa na tatizo la kushindwa kufika kileleni/mshindo (orgasm). Chanzo cha taarifa hakikusema ni kwanini wanashindwa kuufurahia ****.

  Tafadhali wanaume wa JF tuwatahadharishe wake zetu kuhusu mazoea ya kupitiliza ya kuendesha baiskeli.

  Nawasilisha,


  Bazazi!
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  this is new
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,367
  Likes Received: 22,230
  Trophy Points: 280
  Hizo baiskeli zimekaeje hadi binti apoteze uanawali wake? Stori za vijiweni bwana.................
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  he!...mbona bebi wangu kaniagizia polaris....na kaiagiza ghali ujue.....
   
 5. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Nadhani usukumani watakuwa wameathirika kwa kiwango kikubwa..
   
 6. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,030
  Likes Received: 561
  Trophy Points: 280
  Bujibuji sifanyi utani, hizo ni taarifa za kisayansi la maana sio kuzipotezea ni kujaribu kuupata ukweli. Bazazi naendelea kufuatilia katika mitandao mbalimbali kuupata ukweli katika rangi yake na kuumwaga jamvini.

  Bazazi!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  vipi bodaboda? naona ndo dili kwa vijana wa kike na kiume huku mtaani
   
 8. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mweee!!! wee wacha zako wanawake wenyewe wakibongo kuendesha bicycle nadraa sana...so nothing to worry abt
   
 9. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ungeza bidii ukiwa na mkeo badala ya kutoa visingizio (not aimed at anyone in particular)
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  asa mie nayetumia bike kwenda kusaga, kuchota maji???
   
 11. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,030
  Likes Received: 561
  Trophy Points: 280
  Wi-Fi kwani Bodaboda inahusisha kuzungusha pedeli? Bodaboda zina athari kwa wanaume kuzichemsha shahawa hivyo kutokuwa na uwezo wa kutungisha mimba. Kwa kawaida joto la korodani huwa chini kidogo kuliko la sehemu nyingine za mwili na ndio sababu wakati wa joto hushuka chini.

  Naamini kutofika kileleni kunatokana na k#m@ kusuguliwa sana na kiti cha baiskeli hivyo kupoteza uwezo wa kuhisi (sensitivity) kwa kuwa inakomaa. Kutokana na elimu ya viumbe (biology) ngozi ya ndani ya k#m@ inafanana kabisa na ya kwenye kiganja cha mkono au wayo wa mguu. sehemu hizo unapozitumukisha katika harubu huota sugu na kupoteza uwezo wa kuhisi.

  Nastahili kusahihishwa iwapo nmekosea,

  Ndimi Bazazi!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,030
  Likes Received: 561
  Trophy Points: 280
  mzabzab vipi wanawake wa Tanga, Tabora, Shinyanga, Simiyu, Morogoro hawaendeshi baiskeli?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,030
  Likes Received: 561
  Trophy Points: 280
  Aha! Kongosho! Upo? Nimerudi baada ya Kifungo cha mwezi mzima. Nina mpango wa kuacha kutembelea jukwaa la siasa la sivyo tatupwa lupango kila wakati. Msalimie Preta, Smile, kisukari Mtambuzi The Boss na wengineo.

  Naam, Ndimi Bazazi nimerudi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Ama kweli wewe ni bazazi!
   
 15. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,030
  Likes Received: 561
  Trophy Points: 280
  Huu ushauri ungewapa waliofanya utafiti, sio kumbebesha lawama msomaji wa utafiti huo. Hivi unajua waziungu kila siku wanafanya utafiti wakati mewingine zisizo na maana; waliwahi kumfanyia utafiti NZI kujua kwanini huwezi kuumua kwa kubaka. Kabla ya kumbaka anakuwa amesharuka.

  Think LOUD!

  Bazazi!
   
 16. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,030
  Likes Received: 561
  Trophy Points: 280
  Mtoboasiri usijaribu kunirudisha jela Bana! Niache niifurahie JF ndugu yangu.

  Ndimi Muungwana Bazazi!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2012
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Umegeuza mambo. Google tena utaona wanaume ndio wanaoweza kuathiriwa zaidi na matumizi ya baiskeli.
   
 18. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #18
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,030
  Likes Received: 561
  Trophy Points: 280
  Sijageuza Bandugu! Nadhani athari unayoisemea kwa wanaume ni tafauti ya wanawake. Plz ifafanue!

  Bazazi
   
 19. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #19
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Oh! Kumbe ulikuwa jela mzee? Sasa mbona unaanzisha posts za Kibazazi:biggrin::biggrin:
   
 20. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #20
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  wanawake wa tanga tunaendesha baiskeli
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...