Aristolicius
Senior Member
- Mar 3, 2012
- 110
- 38
kuna tabia imezuka kwa wasichana walio kwenye relationa kupata mimba kwa makusudi bila makubaliano na wenzi wao ili kujihakikishia ndoa,hata kama mahusiano ni ya b/friend&g/friend bila hata ya kuwepo uchumba,sio haki kwa mtoto ataezaliwa,sio haki kwa baba ambae hakupanga tabia hii inaboa baba akikataa kuhufumia mtoto utamlaumu?