Ndugu wadau naomba ushauri. Mimi ni muajiriwa na nina kazi nzuri tu .umri wangu ni miaka 37 elimu yangu ni ya chuo kikuu nina degree 2 (masters) . Kutokana na sababu binafsi nimechelewa kuoa na...
habari za leo wa jf ? anae tafuta hachoki bali hupumzika tu, leo naamua niendelee na zowezi la usaili
umri wangu ni 35 jisia mme nina watoto 2. elimu ataijuwa badae, rangi yangu mweusi...
Chagulaga ni neno la kisukuma lenye maana ya chagua.
Hatuwengi sana wamekuwa hawaelewi nini hasa maana ya hii tamaduni. Naomba japo kidogo niwaeleze ukweli wa jambo hili.
Kwa wale ambao hamjawahi...
Nlikua na mahusiano na binti mmoja ivi wa kimasai tangu 2008 mpaka mwaka huu kwenye mwezi april hapo ndipo mambo yakaanza kwenda hovyo,mi nlikua kazini ye kipindi icho ndo alikua amemaliza kidato...
Katika mzunguko wa maisha, nilibahatika kukutana na binti mmoja ambaye taratibu tulianza urafiki wa kawaida, kutokana na mfumo wa urafiki wetu ilifika mahali tukakubaliana kuanzisha uhusiano wa...
Habari zenyu wanajamvi.
Kusema kweli hili jukwaa na Love Connect binafsi naliheshimu mno,naamini litasuluhisha hitaji la mtima wange. Ni Siku nyingi nimekuwa nahitaji kufunguka nami nimpate...
Habarini wapendwa natumai wazima ndo tunaanza wikiend,sasa leo nlikuwa nataka tujadili kwa pamoja faida na hasira za mume na mke kulala kitanda kimoja na chumba kimoja,kwa uchunguzi wangu mdogo...
Mi na mke wangu tuliamua tusile tunda la hedeni mwaka mzima wala usione vitu vya mwenzako. Kila mtu avumilie mpaka mwaka uiishe. Sasa mwezi umepita nahisi kama miaka 2, uzalendo unanishida. Hii...
Mimi ni kijana mwenye miaka 25 Ningependa kupata msichana mwenye sifa zifuatazo:
1. awe muislam
2. Awe na mwili wa kawaida si mnene awe na urefu wa wastani maji ya kunde rangi
3. Mwenye...
Wana JF naomba kuwasilisha mada yangu leo ili tuijadili kwa kina labda tunaweza kupata ufumbuzi tahdhari mada yangu haijalenga din. ni kwamba mtu unakuta ana wake wawili anashi nao kila mke...
Je naweza kupata m'ke mwenye sifa zote za mama?? Ambaye anaweza kuwa kama mama yangu?? Je anaweza kulinda kutetea kutunza kulea watoto wangu kama nilivyolelewa mimi?? Hii inatokana na aina ya...
wewe ni mwanamke hujaolewa unaishi na housegirl wako
unaishi nyumba moja na mtu na mkewe
huyo mwanamke ana madharau balaa ,anaringa kweli na kuolewa anarusha vijembe eti ringia bahati usiringie...
Katokea swahiba yangu kazini, kanipa kisa kimetokea mtaani kwao. Moto mkubwa sana ulitokea mwendo wa masaa ya manane usiku...katika patashika mtaani, ilikuwa mguu niponye, moshi na kiza kutanda...
Hebu tuambieni wanawake wa kiafrika, ni kweli hamuwezi kutamka mambo haya matano kwa wapenzi wenu??
Secret shell never tell you: Money matters Okay, we didnt miss the memo and yes we do know...
I am single men.........hakunaga mapenzi yalee ya kugandana ni zama za kale.
Ukinitaka/nikikutaka tunamaliza leo leo tu.
Kuna huyu ana siku ya tatu hajaenda kazini kisa mapenzi.......Kisa...
Bibi ya mtu ni sumu jamani.
Munakumbuka ile mutu ya Kenya iko na stuck ndani ya muke ya mutu ingine?
Mi iko na ile vidio ya huyo mjamaa, alikuwa anataka kulipa two thousand
lakini ile bwana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.