Amueni wenyewe bila kupendelea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amueni wenyewe bila kupendelea

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mimi ai, Sep 21, 2012.

 1. m

  mimi ai Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe ni mwanamke hujaolewa unaishi na housegirl wako
  unaishi nyumba moja na mtu na mkewe
  huyo mwanamke ana madharau balaa ,anaringa kweli na kuolewa anarusha vijembe eti ringia bahati usiringie uzuri.mumewe hajatulia hata kidogo anakutongoza unamkataa.bahati nzuri au mbaya anahamia kwa housegerl wako anakubaliwa.unafanya juhudi mkewe ajue .anajua anakuomba umfukuze msichana wako utakubali?
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Mwanamke hujaolewa housegirl wa nini?
   
 3. m

  mimi ai Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nafanya kazi telecom company mi eng kuna shift wakubaki nyumbani siku nipo night

   
 4. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Ndio nabalasa tena namtoa race na relay au olimpic kabisa!!! Beki tatu akishajua utamu wa Dudu bana kheri umtimue tu, maana mtakuwa mnagombea kukaa kwenye kioo siku nzima. Sasa akisha fanya hivo afu akajua umejua na umemuacha atabeba mimba kabisaa afu ndo utajua cha kuwaeleza kijijini kwao, kama ulipewa umuuze au akufanyie usafi
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Hata mimi niko single na nafanya kazi graveyard shift lakini sina housegirl wala boy na maisha yanaenda vizuri tu.
   
 6. m

  mimi ai Member

  #6
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uswazi usalama kidogo
   
 7. m

  mimi ai Member

  #7
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi nafurahia huyu mama alikuwa na nyodo sana
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Jiangalie kwanza wewe
  Hivyo vijembe yawezekana unajihisi sababu unatamani kuolewa kwa sasa au hii 'kuolewa' thing iko mawazoni mwako sana.
  Engineer mzima ukae unahangaika na vijembe vya mama wa nyumbani?

  Kuhusu kumfukuza hausi gelo wangu kwa ugomvi nisioujua siwezi
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Sep 21, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Mimi naishi kwa Ali Maua...it doesn't get any uswazi than that.
   
 10. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Mh, kuna ubaya ukiwa na house girl ilihali hujaolewa?
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo unafurahia mateso ya huyo mama sababu ana nyodo??
  Wasichana bana mna mambo

  Kumbuka unaongelea familia ya mtu hapo, je hilo adhabu inalingana na kosa alilokufanyia??

  Mtu anaiba kuku unamhukumu kifo lol

   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Sep 21, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Sioni sababu yoyote ile ya kuwa na housegirl iwe uko kwenye ndoa au la.
   
 13. p

  pretty n JF-Expert Member

  #13
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Usilipize baya kwa jema, mume anauma jamani, Huyo mtoto namtoa nduki apeleke u fyox wake huko huko................
   
 14. m

  mimi ai Member

  #14
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  alitumwa na mimi au nini
   
 15. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #15
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wabeja Ongw'ise... yaani hivi vi thread vya kutunga havina ishu kabisa na Mods hawana hata habari
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Sep 21, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  sitomfukuza housegirl...........
  Kwa maana kama anafanya kazi vyema na naridhika kwa nini nimfukuze? Kupata wadada waaminifu na wachapakazi ni ngumu.

  Nitakachofanya ni kumuonya kama mdogo/mtoto wangu....

  Na nitamkanya huyo bazazi....

  Na kufuatilia nyendo za binti
   
 17. m

  mimi ai Member

  #17
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nitakaa mwenyewe mi mchawi? am so lovely
   
 18. m

  mimi ai Member

  #18
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  housegirl wa elfu 30 unaona ni issue? nikisema nina m 200 benk si utakufa?
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Sep 21, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Basi tafuta roommate.

  Or you can find a boyfriend and y'all can shack up.
   
 20. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #20
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hahaaaa uko wapi? ukanywe juice? mimi nipo hapa Habour View tower
   
Loading...