I am single men .....For others single boys! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I am single men .....For others single boys!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by platozoom, Sep 21, 2012.

 1. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,320
  Trophy Points: 280
  I am single men.........hakunaga mapenzi yalee ya kugandana ni zama za kale.
  Ukinitaka/nikikutaka tunamaliza leo leo tu.

  Kuna huyu ana siku ya tatu hajaenda kazini kisa mapenzi.......Kisa mapenzi.

  Ni sehemu ya maneno kutoka kwenye wimbo wa Lady Jaydee na Ali Kiba kwenye wimbo wa single boy.
  Ama kweli mapenzi zama hizi kizungumkuti.

  Ajabu ni kwamba unapendwa sana na baadhi ya watu niliokutana nao...........na hawafichi wanapenda sana "contents" yake. Miye sijui ni woga kutokana na kuumizwa na mapenzi ama ni fasheni mpya kwenye mahusiano.

  Tujadili
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wana kupenda au wana kutamani?
   
 3. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,320
  Trophy Points: 280
  Sisemi mimi, nimenukuu tu na kuvutiwa na maudhui ya wimbo huo. Ndio najaribu kutafakari kwenye hizi zama na hekaheka zake za kimapenzi
   
 4. N

  Neylu JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Huo wimbo unagusa sana, na wengi yameshawatokea ndio maana wanakubaliana na maneno ya huo wimbo kwamba siku hizi hakunaga mapenzi yaleee yakugandana ni zama za kale...
  Unaweza ukampata mwanaume ukidhani ndio atakuja kuwa mumeo kumbe mwenzio anawaza tuu game asepe zake... Inauma sana aiseee...
   
 5. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  I am single boy??

  Nionavyo mimi,siku hizi watu wanaishi watakavyo wao na sio kama zamani eti jirani atanielewaje!!!
   
 6. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,320
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo ni uoga tu.......lakini changamoto si ni sehemu ya maisha?
   
 7. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,320
  Trophy Points: 280
  Hebu tuangalie kwa uhalisia wameamua kuishi hivyo kwa hiari ama ni uoga wa kuogopa maumivu mapya? Wewe vipi ...single grl or?!!
   
Loading...