wakinadada wa JF mbona kimya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wakinadada wa JF mbona kimya!

Discussion in 'Love Connect' started by ngulangwa, Sep 22, 2012.

 1. n

  ngulangwa Member

  #1
  Sep 22, 2012
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni kijana mwenye miaka 25 Ningependa kupata msichana mwenye sifa zifuatazo:

  1. awe muislam
  2. Awe na mwili wa kawaida si mnene awe na urefu wa wastani maji ya kunde rangi
  3. Mwenye degree,diploma au form six
  4. Mwenye kujiheshimu na aliyetulia
  5. Niko Dar hivo ajue ndipo maskani
  6. aliyetayari atume picha kwenye email sngulangwa@yahoo.com nasubiri.
  7.mimi mrefu mwembamba maji ya kunde.

  Feel free to PM
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Sasa si uweke picha kwanza? Biashara matangazo kaka.
   
 3. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,063
  Likes Received: 10,416
  Trophy Points: 280
  Nimekosea njia...nasepa
   
 4. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Sina zako hazijakamilika, kuipa changamoto uzi wako
   
Loading...