Maamuzi magumu kwenye Ndoa!

Maamuzi magumu kwenye Ndoa!

BIG X

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2011
Posts
777
Reaction score
212
Mi na mke wangu tuliamua tusile tunda la hedeni mwaka mzima wala usione vitu vya mwenzako. Kila mtu avumilie mpaka mwaka uiishe. Sasa mwezi umepita nahisi kama miaka 2, uzalendo unanishida. Hii ahadi ngumu sana. Hivi inawezekana kweli kuvumilia mwaka mzima kwa lengo la kuboresha penzi!!.
 
Nadhani mnahitaji maombi maalumu maana hata mkeo kukubaliana na jambo kama hilo ni kinyume na taratibu za hiyo ndoa mliyofunga.
 
Mi na mke wangu tuliamua tusile tunda la hedeni mwaka mzima wala usione vitu vya mwenzako. Kila mtu avumilie mpaka mwaka uiishe. Sasa mwezi umepita nahisi kama miaka 2, uzalendo unanishida. Hii ahadi ngumu sana. Hivi inawezekana kweli kuvumilia mwaka mzima kwa lengo la kuboresha penzi!!.

Who told you broda????
 
Duh wakati unakubaliana nae ulishajaribu kukaa mwaka mzima bila kula
Na huyo mkeo so mtakuwa mnalala vyumba tofauti au the same room
na kukubaliana kwenu nini kilisababisha mfikie huko je kuna magonjwa ya zinaa au ni matatizo gani hayo
na je hamuoni kuwa mnavunja kiapo chenu cha ndoa
 
Hakuna hayo. Lengo ni kuboresha tu, yaani tusichokane. Lingine ni uwezo wa kuvumilia bila kufanya tendo kwa muda mrefu, kwa mana kwamba ikitokea siku mmoja wetu akiwa mbali na mwenzie labda kikazi au kimasomo, basi awe na uzoefu wa kuvumilia. lakini jingine tena ni kushindana, nani kati yetu anaweza kuvumilia zaidi.
 
ebu tueleze uhusiano kati ya kunyimana unyumba na kuboresha penzi
 
That is possible only kama mgekuwa far apart. Mmoja yuko safarini. Lakini mnaonana kila siku.

Utatupa feedback.

Ila nimewaelewa mlikuwa mnatafuta kumisiana. Lol.
 
That is possible only kama mgekuwa far apart. Mmoja yuko safarini. Lakini mnaonana kila siku.

Utatupa feed back.

Ila nimewaelewa mlikuwa mnatafuta kumisiana. Lol.

Yani we una akili sana. unaelewa upesi kweli. nadhani ulikuwa na first class kote huko ulipopita.
 
Hakuna hayo. Lengo ni kuboresha tu, yaani tusichokane. Lingine ni uwezo wa kuvumilia bila kufanya tendo kwa muda mrefu, kwa mana kwamba ikitokea siku mmoja wetu akiwa mbali na mwenzie labda kikazi au kimasomo, basi awe na uzoefu wa kuvumilia. lakini jingine tena ni kushindana, nani kati yetu anaweza kuvumilia zaidi.

hakuna kitu kigumu kama hicho mkuu na hata hiyo miezi miwili sijui umejitahidi sana
huwezi ukavumilia kitu ambacho kila siku mnaonana na mko room moja na hakuna tatizo la ugonjwa wala ujauzito ambalo tena ambalo linamzuia mkeo kushiriki tendo la ndoa na wewe
 
Hicho unachokisema kinawezekana,kwa sababu mbili tu, "1. HUMAN NATURE NEED CHANGES 2. YOU CANT CHANGE HUMAN NATURE".
Nakushauri mpe likizo miezi 3 hadi 6, utaona jinsi utakavoboresha ndoa yako. Ni kweli ukikaa na mke wako mda mrefu utamzoea sana na hamu ya sex itaisha!
 
Kisa na mkasa cha kujiwekea masharti ya kutonanihii kwa mwaka mzima ni kipi? Mnastahili mkachunguzwe akili zenu maana maamuzi yenu si ya kawaida kabisa kwa watu waliomo waliomo ndani ya ndoa.

Mi na mke wangu tuliamua tusile tunda la hedeni mwaka mzima wala usione vitu vya mwenzako. Kila mtu avumilie mpaka mwaka uiishe. Sasa mwezi umepita nahisi kama miaka 2, uzalendo unanishida. Hii ahadi ngumu sana. Hivi inawezekana kweli kuvumilia mwaka mzima kwa lengo la kuboresha penzi!!.
 
Kisa na mkasa cha kujiwekea masharti ya kutonanihii kwa mwaka mzima ni kipi? Mnastahili mkachunguzwe akili zenu maana maamuzi yenu si ya kawaida kabisa kwa watu waliomo waliomo ndani ya ndoa.

kuboresha tu mwana. kwani we kama unataka kuboresha huwa mnafanyaje!.
 
Back
Top Bottom