Ninajambo mwenzenu usisite kudondosha mchango wako.

Roxea

Senior Member
May 18, 2012
182
48
Nlikua na mahusiano na binti mmoja ivi wa kimasai tangu 2008 mpaka mwaka huu kwenye mwezi april hapo ndipo mambo yakaanza kwenda hovyo,mi nlikua kazini ye kipindi icho ndo alikua amemaliza kidato cha 6,kikubwa alichokua ana claim nikua ananihitaji sana coz ndo alikua ametoka shule nami pia sikufanya ajizi nikatuma nauli ili akuje kule nlikua but ikarudishwa naambiwa eti hawezi kuondoka home kwao ila me ndo niende,nikajaribu kumuelezea mazingira ya kazi jinsi yalivo magumu kwa mimi kutoka hata ka ni 6hrs hata simu pale job hazikua zinaruhusiwa mi nlikua nafanya kuiba tu kwaajili yake,akaonyesha ka ameelewa flani ivi,after two weeks akantext kua ni vitu viwili anione au achukuliwe na mwingne,nikamjibu kama kashampata wa kumchukua nibora asinipe izo option akati jibu kashapata,nikawa kimya xana kutokana na ubisy job ikapita almost a month bila kelele tena na sikua napiga simu ila text zilikua ndo zinaflow zaidi kila nlipopata nafasi iyo,nikaja kustukia jamaa ivi 2ko nae job alikua anatokea mkoa jirani akasema amemuona ikabidi ni mcheki hewa yani vile anaongea ilikua kama kaisha chukuliwa na kuniona mimi wa nini akakubali yuko mkoa huo kweli ila hana mda wa kuja na hata mie nikienda nisimtafute coz hatokua tiari kuniona,niliishiwa pozi nikahisi kama amerogwa au kapatwa na pepo gani,i nikajikaza sana hakuna alojua chochote pale oficni basi nikajiweka busy nika msahau,wiki mbili zilizopita nikapewa likizi nikawepo tu home juzi apa nikapokea text yake anasema hua ananikumbuka sana na hajaacha kunipenda hata tone ila ndo hawezi kua na mimi tena,nikamuuliza kwani kipingamizi ni ni anasema basi tu.kiukweli huyu bint mi nnampenda kuliko kawaida hata iweje ila anakua ivo na mi simuelewi,wanajamvi mnisaidie huyu anataka nini/dawa yake nini/mimi niweje ili ajikute kwangu/maoni yako ndo mpango mzima buddies
 
da pole sana kiongoz kwanza jambo la kwanza zingatia kaz yako sana huyo ndo baba na mama wa pili wa kukulea cha pil ujue wanawake ni wengi sana akikuzingua piga chini alafu ogopa sana wanawake wenye masharti mengi ujue hapo kuna jambo linaendelea piga chini chukua anaekufaaa
 
Mpotezee, tulia na utapata mwanamke poa. Halafu ujue huyo msichana bado yuko kwenye kipindi cha ujinga.
 
kaka usipoteze muda wako hapo. hakuna mahusiano ya kutesana bana. kesha kuwashia taa ya njano tulia tafakari jinsi ya kuish na kupata mwenza mwingine.

kumbuka gf sio mke hivyo hapaswi kukuwazisha hata kidogo kama haeleweki.
 
Let me quote u message nliyoipata kwa msichana tuliyekuwa na mahusiano naye 2007; "I love you very much mentor. My coming may cause u pain because i think its not the same kind of love u excpect from me!"

Hapo tulikua twaishi mikoa tofauti...mpaka leo sijawahi kuelewa hawa dada zetu wanamaanishaga nini na I love you zao!!! Eti anakupenda lakini....
wai..temana nae bana..tulia utampata tu mwingine!
 
Sasa sikiliza wewe huyo binti ANAKUPENDA ila hajielewi elewi tu! Na wewe LIMOYO LAKO LIMEMDONDOKEA tayari hata ukipiga chini, bado utajikosesha uhondo! DUNIA YA LEO UNAYEMPENDA HAKUPENDI, USIEMPENDA NDO ANAKUPENDA KWA DHATI!!!! Sasa kwenda kinyume na dunia wewe huyo binti JIBURUDISHE nae tu, kupunguza stresss ( I am sure utaenjoy every moment of it!!!!) Usiwekeze Moyo wako hapo ila Maadam Kipendacho roho hula nyama mbichi. basi na wewe kila fupa hiloooo yakheee! We mpe options NO MORE GAMES!!! Muwe na mapenzi ya kiutu uzima kila mtu anajielewa!!!!! DNT FORGET TO USE CONDOMS HIV IS CLOSER THAN U IMAGINE. (Mnajiuliza WTF with HIV nimeamua kuwa balozi huru wa TACAIDS, MMU)
 
kwa nini usionane nae,mkakaa na kuongea?na kumuelezea,usichopenda kutoka kwake,na inafaa ajirekebishe.kuliko leo hivi,kesho vile.mapenzi yanaumiza jamani,ila ni vizuri usiyaendekeze
 
umeanza nae 2008?
kamaliza form six mwaka huu?
so ulianza nae akiwa form two?

sasa huoni bado anakua?[/QUOTE

hayo ni matatizo ya kutongoza vitoto! umeanza naye form 2 akiwa bado mtoto mdogo aliyeingia na ww ktk mapenzi kwa wewe kumrubuni (hata kama ulieelewana naye ulimrubuni kwani akili yake ilikuwa haijapevuka). tafuta mwingine mwenye akili iliyopevuka anzisha naye!
 
Tunatofautiana sana aisee..yaani mie mapenzi ya kuzinguana namna hii ningeshamwaga long tyme..
Any ways usikilize moyo wako na kama unahisi unahitaji second chance nenda nae taratibu..
Itapendeza kama mtakutana live aisee...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom